Kiki ya derby ya Kariakoo ndio imebamba ila tunaua soka letu

Drama yote yq derby ni siasa ya kunyausha drama za ndumuz

And it is working

Subiri nyingine inakuja
 
Watu walikanyaga kanuni makusudi Simba wakachekelea leo unao umegeuka inaongelewa soka la bongo kimataifa kushuka kweli hii bongo nyoso
 
Ee Mungu baba ikikupendeza juu ya soka la tz , fifa ikafanye lolote..
 
Sasa mlitaka mcheze derby wakati mmiliki wa uwanja yupo kuzindua daraja la busisi.....?
 
Uongozi wa Klabu ya Simba, mara baada ya kupokea taarifa kuwa mchezo wa dabi umesogezwa mbele mpaka Juni 25, badala ya Juni 15 (kesho), umevunja kambi na kutoa muda kwa wachezaji kwenda kupumzika na kukutana na familia zao.

Wachezaji hao watarejea Jumatatu kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Kengold utakaopigwa Juni 18.

Powered by @sokabetafrica

#NestoShayoUPDATES #NguvuMoja #SimbaSc
 
Ni kweli mpira wetu unaenda kufa ni suala la mda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…