Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nili search pia yalitokea mambo yasiyomhusu. Jaribu mwenzangu. Kama angekua katika slot yoyite ingetokea kama hao wengine. Uki search HARMONIZE inakuja hamony kwa maana ya nyimbo siyo mwanamzikiUmekosea jina mkuu!hebu jaribu kuliandika vizuri tuone kama atakuwepo kwny listi yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Savoy grill hapa readingKumbi gani ya uchochoroni Diamond amefanya tuanzie hapo kwanza?kabla atujaenda Kwenye hoja yako
Hongera sana kwa kusema ukweli watu wengi hapa wamezoea unafki sasa unapowaambia ukweli wanashindwa kukuelewaHawezi kujibu sababu mimi si mbumbumbu kama ninyi wa kudanganywa na huyu mmakonde. Tatizo mnalishwa sana matango pori.
Mimi siishi London. Na hizo kumbi nilizozitaja hazipo London. Wewe ndiyo huelewi. Kondeboy kaitaja O2 Arena na O2 Arena ipo Greenwich ambayo ipo London. Na mimi nimesema hana ubavu wa kupiga hapo siyeye tu hata Mondi. Kupiga hapo unatakiwa uwena mapromota wa maana siyo kanjanja. Mimi nimeongea ukweli hata kama siishi uingereza.Unajua watanzania wanaoishi Uingereza wao wanafikiri Europe ni London tu.
Haya masharti usidhani unajileta tu hapa na kupiga sindimba anatakiwa promota anayetambuliwa..Unajua watanzania wanaoishi Uingereza wao wanafikiri Europe ni London tu.
Haya masharti usidhani unajileta tu hapa na kupiga sindimba anatakiwa promota anayetambuliwa..
Musicians and bands
Your application should include a copy of the engagement contract with the UK venue and promoter.
When working out your income from UK performances you should include payments from:
Promotion payments can be exempt from expenses paid, as they’re likely to be allowable for UK tax purposes.
- the sale of merchandising at venues
- sponsorship
- non-recoverable record company support
- performances, and the filming or recording of them
- miscellaneous income from television and radio, such as appearances linked with touring
- flat rate fees for recording
- promotion payments, for example from record companies
Don’t include payments from:
- recordings where the payments are worked out on the number of units sold
- sales of merchandising at retail outlets unconnected with the performing activity
Mkuu hujamuelewa huyo jamaa , lengo la huyo jamaa ni kuonyesha kuwa Watanzania si lolote na si chochote na hawawezi kupiga shoo kwenye huo ukumbi anaouaminia na ndio furaha yake , na anachukia Sana kusikia kuna mtanzania anaweza kupiga show pale , furaha yake ni kusikia wanigeria na American performer wakitumbuiza Kwan hao ndo Wana uwezo kutokana kuwa Wana midomo minne na wanaenda chooni once per year ...Nchi zote Duniani zina masharti na zinakata kodi kwenye biashara zote, sasa sijui ulikuwa unanielekeza nini? Anyway, pamoja na hayo masharti lakini mbona wasanii wengi kutoka Afrika bado wanakuja hapo. Kodi inakatwa kwa asilimia, hata ukiingiza £500 na ukilipa shida iko wapi?
Kumbuka au fahamu kwamba ile ni complex, na ndani ya complex kuna kumbi tofauti tofauti including The O2 Arena. Ndani ya The O2 kuna ukumbi mwingine mdogo unaitwa Indigo ambao unachukua watu 2800. Huu ni maalumu kwa shoo ndogo ndogo! Mtu kama Harmonize kama kufanya show ndani ya The O2, basi itakuwa kwenye ukumbi wa IndigoKwa kuweka mambo sawa O2 Arena siyo Uwanja bali ni Ukumbi mkubwa una sitting capacity ya watu 20000. Gharama za kuukodi huu ukumbi siyo lelemama.
Mrejesho wa Hamornize kupiga O2. Mwaka 2022 alipiga kwenye Bar moja maeneo ya Bletchley Milton Keynes. Kwa waliokua wananibishia naona sasa mmejua mshindi ni naniKumbuka au fahamu kwamba ile ni complex, na ndani ya complex kuna kumbi tofauti tofauti including The O2 Arena. Ndani ya The O2 kuna ukumbi mwingine mdogo unaitwa Indigo ambao unachukua watu 2800. Huu ni maalumu kwa shoo ndogo ndogo! Mtu kama Harmonize kama kufanya show ndani ya The O2, basi itakuwa kwenye ukumbi wa Indigo