Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 140
Tulipoandika tulitukanwa sanaaaa wengine wakaenda mbali mpaka kuwatukana wazazi wetu kisa habari za Moalin
Wengine wakatukataza kuandika habari za Yanga et tunaipa kashfa...🤣
Kiko waaaapi?
Kwanini Moalin sio Kocha Msaidizi?
Yanga walimwambia Sead aje yeye tu msaidizi yupo,Sead Ramovic akawaambia viongozi wa Yanga anakuja na msaidizi wake waliekuwa nae Ts Galaxy
Ikawaje?
Ikabidi Moalin awe TD.
✍️Sospeter Ilagila