Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kuzunguka kote huko kwa kazi gani? Ni kwamba walikuwa na tamaa ya kocha, wakawahamasisha kwa nyakati tofauti hao makocha waziache timu zao, wakajikuta kweli wameziacha na wanasubiri ajira ya nafasi moja!Umedandia gari kwa mbele, pitia maelezo vizuri. Jamaa kasema kuwa kocha mkuu hatodumu na kisha huyo Moalin ndiye atachukua nafasi yake.