Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 140
Na bado, al-shabab yote itahamia hapo jangwani. Makafir out.View attachment 3155601
...Tulipoandika tulitukanwa sanaaaa wengine wakaenda mbali mpaka kuwatukana wazazi wetu kisa habari za Moalin
Wengine wakatukataza kuandika habari za Yanga et tunaipa kashfa...🤣
Kiko waaaapi?
Kwanini Moalin sio Kocha Msaidizi?
Yanga walimwambia Sead aje yeye tu msaidizi yupo,Sead Ramovic akawaambia viongozi wa Yanga anakuja na msaidizi wake waliekuwa nae Ts Galaxy
Ikawaje?
Ikabidi Moalin awe TD.
✍️Sospeter Ilagila
Asidumu kwa nini? Kocha hata michezo mitatu ajacheza tayari mmeshamkatia tamaa. Wakati aliyemleta huyu kocha ndiye aliyemleta Nabi na Gamondi ambao mlikuwa hata hamuwajui lakini wakaondoka na cv kubwa Yanga. Acheni ujuaji mapema.Wamemchezea karata mbaya sana ila nadhani atafanya kazi zaidi kule under 20 au kwa wasichana ila huku hata ushauri TU hataombwa
Ila pengine huyu ustadhi Rama asidumu sana moalin akawa caretaker (huu mwaka mwaka tunalala na ngao ya hisani)
Nabii yanga wamemjua baada ya Simba kukutana na El merekh, sio Nabii hata Azizi k, Pacome, Yao , wote yanga wamewakua baada ya Simba kukutana na Asec hapo sijawataja wachezaji waliotoka As Vita na wale waliokuwa SimbaAsidumu kwa nini? Kocha hata michezo mitatu ajacheza tayari mmeshamkatia tamaa. Wakati aliyemleta huyu kocha ndiye aliyemleta Nabi na Gamondi ambao mlikuwa hata hamuwajui lakini wakaondoka na cv kubwa Yanga. Acheni ujuaji mapema.
Yanga ni watu wa kukurupuka ukiangalia mfano wa okrah na baleke unajua kabisa yanga kuna watu hawapo makini!
Nasikia Jobe Alovotoka Simba hadi Leo hajapata timuYanga ni watu wa kukurupuka ukiangalia mfano wa okrah na baleke unajua kabisa yanga kuna watu hawapo makini!
Ndio nani huyo jobe?Nasikia Jobe Alovotoka Simba hadi Leo hajapata timu
Ni mdogo wa TangaNdio nani huyo jobe?
Rudia kusoma!Ni mdogo wa Tanga
Wewe Unazungumzia kumjua kwa namna nyingine mimi nazungumzia kumjua ubora wake. Kama kumjua kwa namna hiyo basi hata huyo kocha mpya Yanga wamemjua baada ya kucheza nao kwenye mashindano ya Mpumalanga cupNabii yanga wamemjua baada ya Simba kukutana na El merekh, sio Nabii hata Azizi k, Pacome, Yao , wote yanga wamewakua baada ya Simba kukutana na Asec hapo sijawataja wachezaji waliotoka As Vita na wale waliokuwa Simba
Watalindana wa mogadishu na algarisa😛😛Mkurugenzi wa ufundi bongo?!!! Namuonea huruma sana msomali kaingia mkenge
Hapo sio kocha tena huyo, ingawa aliposhawishiwa alielezwa kuwa atakuja kuwa kocha. Yanga wamelazimika kumtengenezea nafasi hewa kwa kuwa walishamuachisha kazi kule KMC, na kurudi haiwezekani tena hivi karibuni. Sasa yaani Moalin awe boss wa kocha kutoka South Africa, atasikilizwa kweli?Asidumu kwa nini? Kocha hata michezo mitatu ajacheza tayari mmeshamkatia tamaa. Wakati aliyemleta huyu kocha ndiye aliyemleta Nabi na Gamondi ambao mlikuwa hata hamuwajui lakini wakaondoka na cv kubwa Yanga. Acheni ujuaji mapema.
Umedandia gari kwa mbele, pitia maelezo vizuri. Jamaa kasema kuwa kocha mkuu hatodumu na kisha huyo Moalin ndiye atachukua nafasi yake.Hapo sio kocha tena huyo, ingawa aliposhawishiwa alielezwa kuwa atakuja kuwa kocha. Yanga wamelazimika kumtengenezea nafasi hewa kwa kuwa walishamuachisha kazi kule KMC, na kurudi haiwezekani tena hivi karibuni. Sasa yaani Moalin awe boss wa kocha kutoka South Africa, atasikilizwa kweli?