Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Huyo jamaa ana madeni , ukweli usemwe huko majeshini hakuna mishahara ya kiivyo wana stress na hasira kinoma ..Wengi wanastaafu na vimeo vya mikopo .Ni rahisi sana kulisemea jambo hasa kama hujui uhalisia wake.
Mkuu,hivi unadhani huyu hakuwa anawekeza??au hana kabisa savings kama wewe??
Unafikiri kama wakiruhusiwa waandamane,waliowekeza na kuweka akiba hawataingia barabarani kwa sababu wana akiba zao???
Embu tafuta mwalimu,mwanajeshi,au afisa mwingine wa serkali aliyefanya kazi miaka 30 tujue mshahara wake wa mwisho,na alicholipwa kama kiinua mgongo,utamuelewa huyu jamaa.
Kujiwekea akiba,kuwa na miradi,sio tiketi ya mtumishi kutapeliwa na serikali aliyoitumikia kwa moyo wote.mbaya zaidi CGP naye anajibu kama kiazi.
Wizara ya MN imejaza mabumunda sana.
Miaka yote pesa alikuwa anahudumia familia , familia sio mchezo kama una watato zaidi ya watatu jiandae.