Kikokotoo kilivyomtenda mstaafu Jeshi la Magereza

Kikokotoo kilivyomtenda mstaafu Jeshi la Magereza

Familia sio ya kwako iliyotoka kiunoni kwako pekee,kuna watoto wa marehem kaka,dada,mdogo wako,na ndugu wengine,tunajitahidi kuhakikisha nao wanakuwa watu mwisho wa siku,wakati mwingine changamoto ya maradhi kwa mhusika,mwenzi au hata mwanafamilia inamfanya mtumishi huyu kuishi maisha yenye msoto sana na kushindwa kujitetea ktk chnagamoto za kipato hafifu.

Hawa wengine wanaojibu hivi ndio unakuta ni ndugu wa nape,mpwa wa samia,shemeji wa januari,mdogo wa tulia.
Hawajui kabisa aina ya maisha watu wanayolalamikia,wao kwa mwezi kuwekewa milion 2 za matumizi tu ktk acc.
Mshahara hata uwe milioni 10 kwa mwezi kama una familia hautoshi ndio maana wanasiasa wanaiba.
 
Back
Top Bottom