RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Ndugu zangu nimekutana na wazee wenye heshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa Serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu eti kwa kigezo cha kuwapa kidogo kidogo kustaafu kitendo hicho wanakilaani kwa maneno ya chini kwa chini bila kujitokeza hadharani.
Nimewambia wapeleke malalamiko yao kwenye chama kwa katibu mkuu wa chama mheshimiwa Chongolo maana wanadai kwa upande wa Serikali wanaona hayupo mtu yeyote kuanzia waziri mwenye dhamana hadi katibu mkuu utumishi hawezi kuwasemehe.
Cha ajabu bado wanasema viongozi wao wanaupiga mwingi katika kuwaletea maendeleo wananchi, kahawa wamekunywa imeisha wananiambia kijana wetu tuachie hata hela ya chupa moja mimi sikuwa na kinyongo nao nimewapa tsh 1000/= wachukue chupa moja ya kahawa kwa muuzaji nikaondoka zangu maana kuna mambo yalitaka kunitokea yakutaka kuwatukana.
Ndugu zangu siyo raia wakawaida ambao hawana uelewa wa nchi inavyoendeshwa tu hata wafanyakazi wa serikali miongoni mwao hakuna walijualo, nilijaribu kugusia katiba mpya walinipuuza na kuanza kuniambia wewe ni mpinzani, nikawajibu katiba mpya haina upinzani bali ni yetu sote wananchi lakini hawakunielewa.