kikombe atumiacho babu Alikiokota nyumbani kwake!!!!!!!


Nashukuru kwa kunielimisha mkuu. Uzuri wa biblia ni kwamba kila mtu anaweza kutafuta quotation zinazo favor matendo yake. Mfano kama umewahi kukumbana na mtu anajiita Nabii Tito katika pitapita zako. Hivyo mimi binafsi huwa naamini kila mkristu kwa nafsi yake anapaswa kuzitii amri 10 za Mungu na Amri kuu ya upendo aliyotufundisha Yesu mwenyewe. Kwa hiyo kama watu wanaoenda kwa babu wanaabudu kikombe, au wanamwabudu babu, then they have a case to answer. Lakini kama wanakwenda as wagonjwa wengine wanapokwenda Hospitalini kutafuta matibabu sioni tatizo lolote.
 

Baelezee
 
Miss Judith Kwanza nakupa pole kila unacho dadisi kuhusu Babu kila mtu anakupinga na kukuona MJINGA Tuliokunywa tumepona Kama wewe huumwi shida yako nini?
wewe ndo umekamilisha kila kitu mkuu! Big ups
 
Kwa kweli mpakasasa bado sijapata jibu la kunitoa wasiwasi na mchakato mzima wa hiyo tiba na masharti yake! Tuzidi kumuomba MUNGU. maana kumcha MUNGU ndiyo chanzo cha Maarifa.:yield:
 

asante sana mpendwa kwa kuyafafanua vizuri masharti mengine. kwa kweli hata ungekuwa na imani namna gani, ukikiuka sharti hata moja tu kati ya haya huponi, na ukifa wanasema siku zako zilikuwa zimefika, ukihisi una nafuu wanasema kazi ya babu na sio kuwa siku yako ya kupona ilikuwa imefika wala hawasemi umepata ILLUSION!

kweli watu wanadanganywa na kujidanganya sana!

nimefurahi ulipokazia kuwa HAYA NI KWA WENYE MACHO TU. kweli wengi hapa na huko ni vipofu, tena vipofu wasio hata na FIMBO NYEUPE wanapapasa tu na kutumbukia shimoni hiko samunge na wakishatumbukia wanaendelea kupapasa! ooh, Mungu tuhurumie

ubarikiwe sana mpendwa

Jua halitakupiga wakati wa mchana
wala mwezi wakati wa usiku
Bwana atakulinda na mabaya yote,
atakulinda uingiapo, atakulinda utokapo
tangu sasa na hata milele
 
wat kind of mashart ar uu talking abt.kikombe cha babu hakina mashart bwana labd kama unajaribu kuyacreate mwenyewe

Sharti la kwanza - kikombe kimoja tu. Ukiumwa tena hata kama ni pressure imekula kwako, usirudi kwa mungu wa Samunge.
Sharti la pili - Tiba ni shilingi mia tano. Kama huna kifo ni halali yako
Sharti la tatu - Tiba inafanyakazi hapo kibandani kwa babu tu. Ukisogea pembeni tu kunywa hata kama una imani ni bure.
Sharti la nne - Dawa inatolewa kwa kikombe cha babu tu toka kwenye ndoo.
Sharti la tano - Dawa ukiiandaa kwa imani, ukainywa bila usimamizi wa babu ni sumu!
Sharti la sita - Ni mkono wa babu tu unaoruhusiwa kugawa dawa kwenye vikombe.
Sharti la saba - Mungu kampa hati miliki babu pekee duniani. Akiibuka mwingine ataulizwa alikuwa wapi siku zote mpaka amngoje babu.
Sharti la nane - Ukinywa unasubiri mpaka baada ya wiki tatu ndio uone kama umepona.
Sharti la tisa - Marufuku kwa babu kukiacha kikombe chake cha ajabu popote!
Sharti la kumi - AMINI KWAMBA KIKOMBE KINAPONYA!!!!

Ukikiuka masharti hayo hata kama una imani ya kung'oa milima, basi ujue imani yako haifui dafu mbele ya masharti haya.

Hiyo ni kwa wale wenye macho tu. Wengi wametiwa upofu, hawaoni mambo yaliyo wazi kabisa.

Jesus is Lord.
 

asante kwa ku-update orodha ya masharti, huenda baadhi ya vipofu wakaanza kufungua macho!

God bless you
 
sasa kinachotibu ni dawa?
ni kikombe?
ni babu?
ni Yesu?
hayo masharti ya kikombe hayatofautiani na mashahrti ya hirizi, wake up wapendwa!

we dada unanishangaza kweli. humu kuna watu ambao post zao huwa nkiziona tu najua wanawaza nini
1. gavana
2 ms judy
yani sijui mkoje. mnapenda kulazimisha mambo madogo yaonekani big dili sana. hivi kwa mfano badala ya kuhangaika kuchambua saaaaaana hii tiba ya babu( maana post zako nyingi ni hili la lol on du tu) mbona usihangaike kutupa habari za ufalme wa mungu.
ujue unachokiona wewe si lazima wengine wakione. tunatofautiana viwango.
we unadhani ni nini kinatibu hapo labda.
aliepona atarudi kumpa Mingu utukufu. anaejua nani kamponya ni yeye mwenyewe. Ni Kwa neema tu.
 

umeambiwa au ulienda moja kwa moja ukaona kila kinachotendeka. na umefanya nini baada ya kugundua kikombe ni tatizo. au unajisemeeeea tu. nataka uthibitisho uliouona uwe shahidi wa kweli na ili ukihukumu upate nawe sawa na ushuhuda na hukumu yako. sio unasikia magazetini au mara yule kasema mara huyu amesema mara nasikia.
 

YOU ARE SO TRUE!!!! Nashangaa kwa nini watu hawaoni wala hawafikirii wako kama kondoo ambao wanaenda kwa kuangalia chini badala ya mbele.
 

Sikubaliani na wewe hata kidogo. Kwa nini anyamaze wakati ni kitu kinachohitaji mjadala? Hivi mbona watu wengi hamuelewi maana ya hii site? Hii site ni kwa ajili ya debate na sio makubaliano. Just because people does not agree with you doesn't mean you should keep your mouth shut!!!!
 

And by the way, "sauti ya watu ni sauti ya Mungu" not really.
 

Yaani wewe, nimeshindwa hata pa kuanzia kukujibu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…