Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani
mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea
Lakini tunatakiwa kufahamu Maandamano au mbadiliko yatokee ni lazima kikombe cha mateso cha watanzania kijae kwa sahivi kipo chini sana watu wako kwenye comfort zone kubwa sana
Kikombe cha mateso kikijaa basi hakutakuwa na kupanga bali yatatokea tu ni kama mwanamke akifikisha miezi tisa uchungu utakuja tu wenyewe na hakuna atakaye-yazuia ila sahivi ni ngumu sana
Tunaelekea kwenye wakati mgumu sababu hii inawapa legitimate ya kufanya waliokuwa wanafanya hakuna wa kuwazuia na haya lazima yatokee ili kikombe cha mateso kwa Watanzania kijae kama nilivyosema tokea mwanzo bado kipo chini sana kinatakiwa kijae
Angalia mapinduzi yote hayakuja kirahis rahis ni baada ya watu kuteseka sana

- Tanzania kuna kundi kubwa sana la watu hawana kazi na wanaishi na hawajui shida
- Tanzania watu wanauhakika wa kula angalau mlo mmoja ila wana-uhakika
- Hata maskini wa kutupa anaweza nunua kisehemu akajenga room moja
Kikombe cha mateso kikijaa basi hakutakuwa na kupanga bali yatatokea tu ni kama mwanamke akifikisha miezi tisa uchungu utakuja tu wenyewe na hakuna atakaye-yazuia ila sahivi ni ngumu sana
Tunaelekea kwenye wakati mgumu sababu hii inawapa legitimate ya kufanya waliokuwa wanafanya hakuna wa kuwazuia na haya lazima yatokee ili kikombe cha mateso kwa Watanzania kijae kama nilivyosema tokea mwanzo bado kipo chini sana kinatakiwa kijae
Angalia mapinduzi yote hayakuja kirahis rahis ni baada ya watu kuteseka sana
- Watu kuteseka sana kiuchumi, yaani uchumi kuwa mbovu
- Kuwa na state of anarchy
- Utekaji ulishamiri sana