GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani

Lakini tunatakiwa kufahamu Maandamano au mbadiliko yatokee ni lazima kikombe cha mateso cha watanzania kijae kwa sahivi kipo chini sana watu wako kwenye comfort zone kubwa sana

Kikombe cha mateso kikijaa basi hakutakuwa na kupanga bali yatatokea tu ni kama mwanamke akifikisha miezi tisa uchungu utakuja tu wenyewe na hakuna atakaye-yazuia sahivi ni ngumu sana

Tunaelekea kwenye wakati mgumu sababu hii inawapa legitimate ya kufanya waliokuwa wanafanya hakuna wa kuwazuia na haya lazima yatokee ili kikombe cha mateso kwa Watanzania kijae kama nilivyosema tokea mwanzo bado kipo chini sana kinatakiwa kijae


Maandamano sio suluhisho kabisa
 
Ni faida kwa Nchi na Wananchi, kwa sababu kutakuwa na Amani na Utulivu.

Maandamano hayatafanya mambo yawe mazuri kama yalikuwa mabaya. Zaidi ya kuharibu zaidi. Sisi common wananchi ndio waathirika wakubwa machafuko yakitokea nchi hii na wala hayatafanya tuwe na maisha bora ghafla eti baada ya maandamano, tusidanganyane.

Tuilinde tu Amani yetu.

Unajua "common wananchi" wa hii nchi wanaishije. Hata hivyo, huwa sizijadili siasa lakini ubongo wangu huwa open kupokea na kuzichakata taarifa.

Ngoja nirudi kwenye chaka langu. All the best mkuu
 
Jukumu la kutaka tz iliyo njema si ya mtu mmoja ni jukumu letu sote km maandamano hayajafanyika ww ktk historia unabaki kua mmoja wa washiriki wa udhalimu
 
Ulikuwa ukionekana una pinga au kukosoa maandaman una tukanwa tulijua hakuna wa kuandamana hapa badooo sindano haijauma ikuuma hakuna wa kuzuia
All in all nchi yetu siyo mbaya kihivyo tofauti na wapenda maandamano walivyotaka kuihabarisha dunia. Hata Rais Samia amepiga kazi sana ila watu hawamkubali kwa kuwa ni Islam, Zanzibari halafu mwanamke
 
Kwa hiyo hao wajinga wakishachekwa ndio wataathirika peke yao kama vitu vikienda ndivyo sivyo ?...

Yani wewe utawacheka then what's next?..
Watanzania wakiguswa vizuri ndipo hapo watajua Nini cha kufanya Tena bila hata kuhamasishwa
 
Wajameni nilikuwa nasikiliza huko matik tok na club houses kila mahali vijana wanasema wapo ngunguri na wamejipanga haswa , wanakiwasha kabla ya sa 12 asubuhi vp mbona Mbeya yangu sioni kijana hata mmoja hapa forest ? nimepita Soweto, Mafiati, kabwe mpaka Uyole, Inyala naona shwari kuliko jpili vp ?
 
Tz ilikuwa Moja ya soko kuu la utumwa afrika

Wangapi mnajua walikufa kwa uchungu Pasi na ndugu zao kufahamu, na miguu mingapi imekanyaga ardhi hii kwa uchungu

Bado sana mpaka damu ndio baadhi ya makufuli yatafunguka
 
Wajameni nilikuwa nasikiliza huko matik tok na club houses kila mahali vijana wanasema wapo ngunguri na wamejipanga haswa , wanakiwasha kabla ya sa 12 asubuhi vp mbona Mbeya yangu sioni kijana hata mmoja hapa forest ? nimepita Soweto, Mafiati, kabwe mpaka Uyole, Inyala naona shwari kuliko jpili vp ?
Basi inatosha. Msiwasimange vijana japo hakukuwa na agenda ya muhimu kwenye maandamano yao.

Inatisha waacheni wafanye mambo yao ya kusongesha maisha yao.
 
Back
Top Bottom