Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Tuliwaaambia humu JF kuwa maandamano ni ya keyboard warriors tu. Hakuna Watanzania wa namna hiyo!!Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani
Lakini tunatakiwa kufahamu Maandamano au mbadiliko yatokee ni lazima kikombe cha mateso cha watanzania kijae kwa sahivi kipo chini sana watu wako kwenye comfort zone kubwa sana
Kikombe cha mateso kikijaa basi hakutakuwa na kupanga bali yatatokea tu ni kama mwanamke akifikisha miezi tisa uchungu utakuja tu wenyewe na hakuna atakaye-yazuia sahivi ni ngumu sana
Tunaelekea kwenye wakati mgumu sababu hii inawapa legitimate ya kufanya waliokuwa wanafanya hakuna wa kuwazuia na haya lazima yatokee ili kikombe cha mateso kwa Watanzania kijae kama nilivyosema tokea mwanzo bado kipo chini sana kinatakiwa kijae
Pale kikombe kilijaa siku kikombe kikijaa basi hakutakuwa na kupanga tareheWatanzania wakiguswa panapouma, wanajua kupambana. Mwendokasi Kimara ni mfano mzuri, palipouma sawasasa, walifanya kweli wakaletewa yenye AC
Kila jukwaa lazima topic ya maandamano itawale mlifika hatua mpaka mnawa unfollow Hadi wasanii wakishaonesha wapo upande wa CCM haya Sasa mbona excuses ni nyingi tuliwaamnia hizo movement zenu ni za kijinga hazina matokeoMaandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani
Lakini tunatakiwa kufahamu Maandamano au mbadiliko yatokee ni lazima kikombe cha mateso cha watanzania kijae kwa sahivi kipo chini sana watu wako kwenye comfort zone kubwa sana
Kikombe cha mateso kikijaa basi hakutakuwa na kupanga bali yatatokea tu ni kama mwanamke akifikisha miezi tisa uchungu utakuja tu wenyewe na hakuna atakaye-yazuia sahivi ni ngumu sana
Tunaelekea kwenye wakati mgumu sababu hii inawapa legitimate ya kufanya waliokuwa wanafanya hakuna wa kuwazuia na haya lazima yatokee ili kikombe cha mateso kwa Watanzania kijae kama nilivyosema tokea mwanzo bado kipo chini sana kinatakiwa kijae
Msisingizie dini sema mmeshindwaDini zimetugawa wa tz hatuko pamoja.divide and rule .dini kumbwa mbili ndani ya nchi Moja usitegemee Umoja katika kudai haki.dini ni ukoloni na ubeberu
Maandamano kutokufanikiwa ni hasara ya nani na ni faida kwa nani, common mwananchi au ?...Kila jukwaa lazima topic ya maandamano itawale mlifika hatua mpaka mnawa unfollow Hadi wasanii wakishaonesha wapo upande wa CCM haya Sasa mbona excuses ni nyingi tuliwaamnia hizo movement zenu ni za kijinga hazina matokeo
Hilo tulijua mapema na tulisema humu tukatukanwa hakuna maandamano yanayopangwa huwayafanikiwa, yanayofanikiwa ni yale ambayo hayapangwi.CCM inataendeles kutawala kwasababu moja hatuna vyama mbadala tishioMaandamano kutokufanikiwa ni hasara ya nani na ni faida kwa nani, common mwananchi au ?...
Sijapinga ila swali nilililokuuliza ni tofauti na majibu.Hilo tulijua mapema na tulisema humu tukatukanwa hakuna maandamano yanayopangwa huwayafanikiwa, yanayofanikiwa ni yale ambayo hayapangwi.CCM inataendeles kutawala kwasababu moja hatuna vyama mbadala tishio
Mimi sijafurahia nilijua kabisa hakuna cha maandamano ila nimeshangazwa na unafiki wa wabongo kwenye mitandaoni ile nguvu walioitumia ndio ilipaswa wafanye barabarani sio utoto walikuwa wanaufanya mpaka tunatukaniwa mama zetu, tukienda kwenye majukwaa mengine bado unasikia mijadala ya maandamano tulikuwa hatupumui wajinga wa namna hii wanafaa kuchekwaSijapinga ila swali nilililokuuliza ni tofauti na majibu.
Wakati unafurahia maandamano kutokufanikiwa na kuzogoa watu.
Ni nani ambaye atafaidika au ataathirika na kushindwa kwake, common mwananchi?..
Mimi sijafurahia nilijua kabisa hakuna cha maandamano ila nimeshangazwa na unafiki wa wabongo kwenye mitandaoni ile nguvu walioitumia ndio ilipaswa wafanye barabarani sio utoto walikuwa wanaufanya mpaka tunatukaniwa mama zetu, tukienda kwenye majukwaa mengine bado unasikia mijadala ya maandamano tulikuwa hatupumui wajinga wa namna hii wanafaa kuchekwa
Maandamano kutokufanikiwa ni hasara ya nani na ni faida kwa nani, common mwananchi au ?...
Siku ile ya kupmbania mwendokasi dini iliachwa wapi? Au wale walikuwa wapagani.Dini zimetugawa wa tz hatuko pamoja.divide and rule .dini kumbwa mbili ndani ya nchi Moja usitegemee Umoja katika kudai haki.dini ni ukoloni na ubeberu
Ulikuwa ukionekana una pinga au kukosoa maandaman una tukanwa tulijua hakuna wa kuandamana hapa badooo sindano haijauma ikuuma hakuna wa kuzuiaTuliwaaambia humu JF kuwa maandamano ni klya keyboard warriors tu. Hakuna Watanzania wa namna hiyo!!