Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani
Lakini tunatakiwa kufahamu Maandamano au mbadiliko yatokee ni lazima kikombe cha mateso cha watanzania kijae kwa sahivi kipo chini sana watu wako kwenye comfort zone kubwa sana
Kikombe cha mateso kikijaa basi hakutakuwa na kupanga bali yatatokea tu ni kama mwanamke akifikisha miezi tisa uchungu utakuja tu wenyewe na hakuna atakaye-yazuia sahivi ni ngumu sana
Tunaelekea kwenye wakati mgumu sababu hii inawapa legitimate ya kufanya waliokuwa wanafanya hakuna wa kuwazuia na haya lazima yatokee ili kikombe cha mateso kwa Watanzania kijae kama nilivyosema tokea mwanzo bado kipo chini sana kinatakiwa kijae
Kila mtu anamlaumu mwenzake kwanini hajatoka kuandamanaKenyatta aliona mbali sana kumwambia Nyerere anaongoza maiti
Ni faida kwa Nchi na Wananchi, kwa sababu kutakuwa na Amani na Utulivu.
Maandamano hayatafanya mambo yawe mazuri kama yalikuwa mabaya. Zaidi ya kuharibu zaidi. Sisi common wananchi ndio waathirika wakubwa machafuko yakitokea nchi hii na wala hayatafanya tuwe na maisha bora ghafla eti baada ya maandamano, tusidanganyane.
Tuilinde tu Amani yetu.
Sio ndani ya shuka tu ana kunywa chai uku ana angalia ITVKila mtu anamlaumu mwenzake kwanini hajatoka kuandamana
Usikute hata wewe mwenyewe bado upo ndani ya shuka
Eeeeee eheeeee mboneke voiceAttasa attasa 🤣
All in all nchi yetu siyo mbaya kihivyo tofauti na wapenda maandamano walivyotaka kuihabarisha dunia. Hata Rais Samia amepiga kazi sana ila watu hawamkubali kwa kuwa ni Islam, Zanzibari halafu mwanamkeUlikuwa ukionekana una pinga au kukosoa maandaman una tukanwa tulijua hakuna wa kuandamana hapa badooo sindano haijauma ikuuma hakuna wa kuzuia
Watanzania wakiguswa vizuri ndipo hapo watajua Nini cha kufanya Tena bila hata kuhamasishwaKwa hiyo hao wajinga wakishachekwa ndio wataathirika peke yao kama vitu vikienda ndivyo sivyo ?...
Yani wewe utawacheka then what's next?..
Yaani umepiga kwenye mshonoKila mtu anamlaumu mwenzake kwanini hajatoka kuandamana
Usikute hata wewe mwenyewe bado upo ndani ya shuka
Hakuna cha nywi nywi nywi Wala nywu nywu nywu ndio hii sasaAttasa attasa 🤣
"Kikwete unaongoza ng'ombe". Paul Kagame.Kenyatta aliona mbali sana kumwambia Nyerere anaongoza maiti
Hii imeenda. Comment bora ya mwaka hii.Jukumu la kitaka tz iliyo njema si ya mtu mmoja ni jukumu letu sote km maandamano hayajafanyika ww ktk historia unabaki kua mmoja wa washiriki wa udhalimu
Basi inatosha. Msiwasimange vijana japo hakukuwa na agenda ya muhimu kwenye maandamano yao.Wajameni nilikuwa nasikiliza huko matik tok na club houses kila mahali vijana wanasema wapo ngunguri na wamejipanga haswa , wanakiwasha kabla ya sa 12 asubuhi vp mbona Mbeya yangu sioni kijana hata mmoja hapa forest ? nimepita Soweto, Mafiati, kabwe mpaka Uyole, Inyala naona shwari kuliko jpili vp ?