GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Safari ya ukombozi inahitaji kujikana nafsi heche,lisu na wengine ambao idaidi yao haifiki nusu ya watanzania tuta walaumu bure kina lisu wao wamefanya kwa nafasi zao
 
Basi inatosha. Msiwasimange vijana japo hakukuwa na agenda ya muhimu kwenye maandamano yao.

Inatisha waacheni wafanye mambo yao ya kusongesha maisha yao.
ahaaa ahaaa leo Mange kimambi nadhani hata tendo la ndoa hataweza kabisa , itabidi Aokoke tu maana kila uhamasishaji wake toka enzi za Magu zinafeli na hakakomi , japo kioga kweli kinachochea tu hakijitokezi , Na huyu mwingine jana namsikia asema nawaaminia vijana msiogope kabisa kufa nyie tokeni tu kwa wingi wakati yeye yupo hapa jirani tu Nairobi angevuka mpaka atuonyeshe kwa vitendo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
1. Tanzania sio kwamba watu waoga no tuna mfumo wa inteligence wa kichina na Russia preventive intelligence ngumu sana kulianzisha 2015 labda kidogooooo kwa sababu Lowassa Sumaye waligawa nchi na walikuwa na wafuasi kibao kwnye vyombo vya ulinzi wale wangekinukisha kingenuka kweli ila sio mwingine karibuni
 
Kila mtu anamlaumu mwenzake kwanini hajatoka kuandamana
Usikute hata wewe mwenyewe bado upo ndani ya shuka
lakini club house na tik tok tulikuwa tunahakikishian akuwa tupo vizuri kuliko makomandoo wa ngerengere , Dont trust Mtz kabisaaaaaaaa
 
Kuna sababu nimeeleza kwenye hii mada ambazo zimepelekea kushindwa kufanikiwa kwa maandamano.

 
Intelligence ipoo vizuriii mazeee dah
 
Intelligence ipoo vizuriii mazeee dah
ngoja leo ipite kuna watendaji wamhujumu zoezi usiku tunajipanga kazi si umeshasikia huko sinza wameanza kuwekwa kwenye machela internet imezimwa kazi ya usafi ifanyike masaa 3 tu , ndugu yako asiporudi nyumbani kanunue maua ya mashada tu
 
Hata Russia 2012 ilikuwa hivi , china 2000 ilishatokega , hong kong 2018 na walitulizwa ni suala ya kupanga team na safu tu upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…