Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukifikisha miaka 70 ndo mwisho wa kusema shikamoo lol
Mimi huwa sitoagi shkamoo kwa mtu ambae sina uhakika na umri wake, especially wanawake.
Aisee hata mimi ishanikuta sana hii.....kupima umri wa mwanamke kwa kutizama tu inabidi uwe makini sana! Wengi wanaonekana wakubwa kuliko umri wao halisi!Haahaa mkuu hii ilinikuta nikamsalimia mtu nayemzidi miaka mitano yaani ni mdogo wa rafiki yangu anayemfuata mara 2 that day jamaa kanambia mama yake amekuja so nilipomwona huyu mdada Bongee na uso umemparama nikamwaga shikamoo yangu just to realise later kuwa yule ni mdogo wangu.Ila nilimdai akairudisha.
Nasikia kwenu ukiwa na pesa babako anakuwa mdogo na anakuamkia?Kwa sisi wachaga shikamoo anapewa mwenye pesa zaidi.
Mi natumiaga "Za saa hizi?"
Nasikia kwenu ukiwa na pesa babako anakuwa mdogo na anakuamkia?
Kikweli hii salamu siipendi, nahisi inaudhalilishaji bwana. Nini maana ya shikamoo, haina maana halafu imekaa ki-master and servant. Yaani mdogo tu amsalimu mkubwa, hapa bado sijaona kama kuna kutendeana haki katika kujuliana hali.