blackandwhite2061
Member
- Jan 2, 2013
- 31
- 5
- Thread starter
- #21
Huyo atakuwa ameingia kwa nnagumashi..
hapana ndugu tedo, leo nimejaribu wasiliana na dr waliosoma vyuo tofauti; Muhimbili-MUHAS kama hujasoma PCB hugusi MD, Bugando-CUHAS wapo waliosoma CBG wanasoma. vyuo vya africa kusini wanataka A level chemistry na Biology kusomea udaktari wa binadamu. hivyo PCB,CBN,CBA,CBG anachukuliwa.
sijawasiliana na mtu wa UDOM na KCMC.