mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kikosi hicho hapo .
Simba wa 4.
Kapombe
Kanuti ,chama
Baleke
Sio bure hii Caf ni Simba watupu
Simba wa 4.
Kapombe
Kanuti ,chama
Baleke
Sio bure hii Caf ni Simba watupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumuhusisha Mungu na UPUMBAVU.Kuna waungwana na mabibie wataanza kulia.Mola awarehemu.Inshaallah!
Sasa hasira za nini, kwani sisi ndo tumechagua hiko kikosi [emoji1787]Acha kumuhusisha Mungu na UPUMBAVU.
Mungu yupi anayewaambia Makolokolo manyau meusi yakatize katikati uwanjani kabla ya mechi?
Mungu yupi anaruhusu moto uwashwe uwanjani?
Hiyo id umejichanganya.Jiite katerero tu utaeleweka.Una akili kama mteja wa Milembe Hotels.Acha kumuhusisha Mungu na UPUMBAVU.
Mungu yupi anayewaambia Makolokolo manyau meusi yakatize katikati uwanjani kabla ya mechi?
Mungu yupi anaruhusu moto uwashwe uwanjani?
The Great Fools of All Times!GOFATs!Kuna watu wanakuja kubishana na CAF
Kwani ni Mungu yupi kwenye vitabu vya dini anayesema wenye dhambi wachomwe moto?Acha kumuhusisha Mungu na UPUMBAVU.
Mungu yupi anayewaambia Makolokolo manyau meusi yakatize katikati uwanjani kabla ya mechi?
Mungu yupi anaruhusu moto uwashwe uwanjani?
Tuache utani japo mimi Simba ila majina mliyotubatiza huwa yananichekesha sana eti kolowizard mara makololo hahaha dah huwa nacheka sana.Acha kumuhusisha Mungu na UPUMBAVU.
Mungu yupi anayewaambia Makolokolo manyau meusi yakatize katikati uwanjani kabla ya mechi?
Mungu yupi anaruhusu moto uwashwe uwanjani?
Hater?!!! Sasa kombe litachukuliwa na timu zote?Nakumbusha tu kuwa kipindi hiki ndio hatua ya mwisho ya mgonjwa kukata roho. Hata misimu ya nyuma ndio furaha iliyokuwa inasherehekewa na mashabiki ( man of matches na team of the week) halafu ikifika robo ndio kilele chao cha mafanikio. Kombe lao ni la robo, man of the matches na team of week. Wakati wengine wanasherehekea kombe. Ushamba ni mzigo
Sawa Mkuundugu.Hiyo id umejichanganya.Jiite katerero tu utaeleweka.Una akili kama mteja wa Milembe Hotels.
Unaumia ukiwa wapi ndugu mkalia mwiko?Acha kumuhusisha Mungu na UPUMBAVU.
Mungu yupi anayewaambia Makolokolo manyau meusi yakatize katikati uwanjani kabla ya mechi?
Mungu yupi anaruhusu moto uwashwe uwanjani?