Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
nedved ameacha soka mwaka gani?Yaani kroos kawazidi kina pirlo gerrard scholes lampard seerdorf nedved em kuweni serious
Bosquets kroos hawastahili hata kufikiriwa
Kukosekana kwa Scholes kumeharibu uzi.
Nakubali mkuu hoja yakoxavi hernandez ameondoka barcelona takribani miaka minne iliopita, ina maana kwenye miaka 10 ametumikia takribani miaka sita.
kutoka mwaka 2009 hadi mwaka 2015 alipoondoka barcelona kuna midfield yeyote aliyemzidi maestro xavi hernandez?
ndani ya miaka sita ameshinda champions league mara 3
ameshinda kombe la euro mara 1
world cup mara 1
laliga mara ..........
popote anapotajwa iniesta basi pembeni yake awepo xavi hernandez
popote anapotajwa toni kroos basi pembeni yake awepo mtakatifu luka modric
View attachment 1285441
Shule bado tatizo kubwa miongoni mwetuYaani kroos kawazidi kina pirlo gerrard scholes lampard seerdorf nedved em kuweni serious
Me nafikiri langoni angewekwa CasillasLangoni ungemweka BUFFON ningekupa like mkuu
kutoka mwaka 2010 (world cup) mpaka mwaka 2017 (kabla ya kupata majeruhi) kuna goal keeper yeyote aliyefanikiwa kumzidi kiuwezo na kimafanikio manuel neuer?Me nafikiri langoni angewekwa Casillas
Claude makelele au gilberto silvaKatika decade ni yupi alistahili kuwemo mbadala wa Busquet???
Bahati mbaya ...Hilo haliwezi kutokea!Ukiwa na timu km hilo aafu benchi watu km Pilo, Xavi, bufon,scholes,Ashley cole/Eric Abidal,Drogba. Nashindwa kukisia nn kitatokea kwenye soka la dunia