Kikosi bora cha miaka 10, nani amesahaulika?

Kikosi bora cha miaka 10, nani amesahaulika?

xavi hernandez ameondoka barcelona takribani miaka minne iliopita, ina maana kwenye miaka 10 ametumikia takribani miaka sita.
kutoka mwaka 2009 hadi mwaka 2015 alipoondoka barcelona kuna midfield yeyote aliyemzidi maestro xavi hernandez?

ndani ya miaka sita ameshinda champions league mara 3
ameshinda kombe la euro mara 1
world cup mara 1
laliga mara ..........

popote anapotajwa iniesta basi pembeni yake awepo xavi hernandez
popote anapotajwa toni kroos basi pembeni yake awepo mtakatifu luka modric
View attachment 1285441
naunga mkono hoja
 
Binafsi nakubaliana na kikosi karoso hapo kwa Toni kroos tu.Ila watu someni uzi vizuri ,uzi unajieleza vizuri kuanzia 2010 mpk sasa hao wengine mnaofosi wawepo wamekuwa na kiwango kwa miaka miwili tu au mitatu sasa unamlinganishaje na aliyepiga yote kumi kwa kiwango bora ?
 
Kweli uelewa ni tatizo, mnaambiwa 2010-2019(muongo mmoja), mnaanza kuongea habari za kina Canavaro.

Binafsi nakubaliana na hicho kikosi
Umeona mkuu, wabongo wengi hatusomi maelezo tunakimbilia tu kukosoa
 
Kama kawaida wachezaji kutoka La Liga wanadominate
 
Back
Top Bottom