Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sergio busquets mwamba hapo atoke tony kroos aingie XaviKwa mujibu wa mtandao wa Global Soccer Award, hiki ndio kikosi bora cha miaka 10 (Muongo/Decade).
Nani amesahaulika, nani atoke? Au unakubaliana na kikosi?
Karibu kwa mjadala.
View attachment 1285145
Gerrard kamzidi nini tony?Yaani kroos kawazidi kina pirlo gerrard scholes lampard seerdorf nedved em kuweni serious
utakuwa jau wewe sergio fundi kiungo bora mkabaji wa mda wote asiwekwe.Bosquets kroos hawastahili hata kufikiriwa
Nakubaliana na weweMe nafikiri langoni angewekwa Casillas
Unazingua mkuuClaude makelele au gilberto silva
naunga mkono hojaxavi hernandez ameondoka barcelona takribani miaka minne iliopita, ina maana kwenye miaka 10 ametumikia takribani miaka sita.
kutoka mwaka 2009 hadi mwaka 2015 alipoondoka barcelona kuna midfield yeyote aliyemzidi maestro xavi hernandez?
ndani ya miaka sita ameshinda champions league mara 3
ameshinda kombe la euro mara 1
world cup mara 1
laliga mara ..........
popote anapotajwa iniesta basi pembeni yake awepo xavi hernandez
popote anapotajwa toni kroos basi pembeni yake awepo mtakatifu luka modric
View attachment 1285441
Hivi unaelewa maana ya the last decade?Claude makelele au gilberto silva
Neymar?? Hazard mkuu upo serious????Kwa sasa toa ronaldo weka Neymar hapo au Hazard.
Umeona mkuu, wabongo wengi hatusomi maelezo tunakimbilia tu kukosoaKweli uelewa ni tatizo, mnaambiwa 2010-2019(muongo mmoja), mnaanza kuongea habari za kina Canavaro.
Binafsi nakubaliana na hicho kikosi