Kikosi bora cha miaka 10, nani amesahaulika?

Kikosi bora cha miaka 10, nani amesahaulika?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kwa mujibu wa mtandao wa Global Soccer Award, hiki ndio kikosi bora cha miaka 10 (Muongo/Decade).

Nani amesahaulika, nani atoke? Au unakubaliana na kikosi?

Karibu kwa mjadala.

73470477_820596758398066_5644692794798172152_n.jpeg
 
xavi hernandez ameondoka barcelona takribani miaka minne iliopita, ina maana kwenye miaka 10 ametumikia takribani miaka sita.
kutoka mwaka 2009 hadi mwaka 2015 alipoondoka barcelona kuna midfield yeyote aliyemzidi maestro xavi hernandez?

ndani ya miaka sita ameshinda champions league mara 3
ameshinda kombe la euro mara 1
world cup mara 1
laliga mara ..........

popote anapotajwa iniesta basi pembeni yake awepo xavi hernandez
popote anapotajwa toni kroos basi pembeni yake awepo mtakatifu luka modric
1575805739953.png
 
View attachment 1285441
Nakubali mkuu hoja yako
 
Me nafikiri langoni angewekwa Casillas
kutoka mwaka 2010 (world cup) mpaka mwaka 2017 (kabla ya kupata majeruhi) kuna goal keeper yeyote aliyefanikiwa kumzidi kiuwezo na kimafanikio manuel neuer?
kwa mtazamo wangu sidhani kama wamekosea kumweka manuel neuer kwenye hicho kikosi.
 
Back
Top Bottom