Kikosi bora cha miaka 10, nani amesahaulika?

naunga mkono hoja
 
Binafsi nakubaliana na kikosi karoso hapo kwa Toni kroos tu.Ila watu someni uzi vizuri ,uzi unajieleza vizuri kuanzia 2010 mpk sasa hao wengine mnaofosi wawepo wamekuwa na kiwango kwa miaka miwili tu au mitatu sasa unamlinganishaje na aliyepiga yote kumi kwa kiwango bora ?
 
Kweli uelewa ni tatizo, mnaambiwa 2010-2019(muongo mmoja), mnaanza kuongea habari za kina Canavaro.

Binafsi nakubaliana na hicho kikosi
Umeona mkuu, wabongo wengi hatusomi maelezo tunakimbilia tu kukosoa
 
Kama kawaida wachezaji kutoka La Liga wanadominate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…