Shushushu mmoja amekamatwa na kitengo Chetu cha figisu.. Inadaiwa kuwa shushu huyo anatoka team pinzani ya mabeberu fc..
Hongera Kichwa Kichafu,joanah na wenzenu kazi yenu ni mfano wa kuigwa..
mashabiki kindakindakiKina nani hao?π
ππ tumechokanaWe mdada ndio nini kuachana na aidii yako
Mkuu mimi nipo busy Kuwatibia Wagonjwa wa (AIDS/HIV) Ukimwi Hepatitis B Virus na Maradhi ya (CANCER) Saratani kwenye Kikosi bora cha mwaka hata wasipo nitia hakuna shida.Imekuawaje benchi la ufundi amekosekana MziziMkavu
@Mzizi mkavu yupo wapiMdhamini wa timu Kiduku Lilo
Mganga wa timu Mshana Jr
Mchawi wa timu Jon Stephano
Mhamasishaji wa timu Sky Eclat
Mwokota mipira kiben10
Mrudisha timu nyuma kawe alumin
Mpuliza vuvuzela wa timu Beira Boy
Huyu atakua tabibu wa team
Hahahah mkuu wewe endelea kuwasiliana na viumbe wa sayari nyingine..!Unfortunately sipendi mpira