Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #181
pia wachezaji wanauliza posho kesho baada ya mechi zitatoka saa ngapi?Hapo kwenye mweka hazina ndio pananifaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia wachezaji wanauliza posho kesho baada ya mechi zitatoka saa ngapi?Hapo kwenye mweka hazina ndio pananifaa sana
Taarifa kamili kuhusu jezi itakuja punde hivyo watu wakae tayari.Asante sana ndugu msemaji kwa upembuzi yakinifu. Pia tungeomba jezi tutakazovaa ziwekwe hapa watu wazione
Asante sana ndugu msemaji kwa upembuzi yakinifu. Pia tungeomba jezi tutakazovaa ziwekwe hapa watu wazione
Afisa habari ni mtu gani..Hio sio kazi ya msemaji
Napenda ila mkuu kazidisha KipimoHahahaha Wewe hupendi kula eti
Mimi sikubaliani hata kidogoHapo kwenye mweka hazina ndio pananifaa sana
Mke wangu hawachi ni maarufu ila hanizidi kwa ile I'd yangu nyingine ambayo pia naitumia Sana humu!Napenda ila mkuu kazisha Kipimo
We mdada ndio nini kuachana na aidii yako
Mkuu hivi kwa nini unakuwa mgumu kuelewa tafadhali usiharibu siku yangu.Mke wangu hawachi ni maarufu ila hanizidi kwa ile I'd yangu nyingine ambayo pia naitumia Sana humu!
Kitengo Nyeti Sana Hicho.
Figisufigusi ---> kikosi cha roho mbaya kwa team pinzani
Hapa hata mchezaji wao akiumia ukipata nafasi unamuongeza hata kwa ngumi ya uso swala ni kuhakikisha umewatoa mchezo [emoji23][emoji23][emoji23]
Posho watapewa kabla ya mechi kama motishapia wachezaji wanauliza posho kesho baada ya mechi zitatoka saa ngapi?
[emoji3][emoji3][emoji3]Da'Vinci troublemaker. MLEVi Mmoja na Zero IQ miguu yao yote miwili ni ya kushoto watatupoteza.
( Mwenyekiti wa kamati ya figisu figisu.)
Atakuwa ni Bujibuji maana nae alikuwa anauliza mzinga wakeNilihifadhi mchupa wangu wa kvant kwenye kabati langu la chumba cha kubadilishia nguo cha wachezaji baada ya mechi ninywe cha ajabu baada ya halftime naangalia haupo huo mchupa nani kauchukua ?
Sent using Jamii Forums mobile app
mwalimu ni kocha wa viungo mkuu kule