Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hawa inabidi tuwapeleke kwenye kamati ya Maadili japo sijaiona hapo juu.Update.
Umezuka ugomvi kati ya Da'Vinci na mpishi wa team Hawachi .
Chanzo kikiwa ni Da'Vinci kulalamika kuwa Hawachi kamuwekea msosi mdogo.. Na kudai aongezewe msosi kwani amefanya mazoezi makali..!
Hawachi aligoma na kudai kuwa Da'Vinci tumbo lake lina shimo ndani..
Hapo ukazuka ugomvi mkubwa na mabaunsa wa team Castr na team yake wakaja kutuliza ghasia..
Mchezaji alijaziwa shendele Kama alivyodai
Kiti moto kinawahusu ili iwe mfano kwa wengine. Teh teh.