Kikosi bora cha mwaka JF

Kikosi bora cha mwaka JF

Update.
Umezuka ugomvi kati ya Da'Vinci na mpishi wa team Hawachi .

Chanzo kikiwa ni Da'Vinci kulalamika kuwa Hawachi kamuwekea msosi mdogo.. Na kudai aongezewe msosi kwani amefanya mazoezi makali..!
Hawachi aligoma na kudai kuwa Da'Vinci tumbo lake lina shimo ndani..
Hapo ukazuka ugomvi mkubwa na mabaunsa wa team Castr na team yake wakaja kutuliza ghasia..

Mchezaji alijaziwa shendele Kama alivyodai
Hawa inabidi tuwapeleke kwenye kamati ya Maadili japo sijaiona hapo juu.

Kiti moto kinawahusu ili iwe mfano kwa wengine. Teh teh.
 
Kabisa,kikosi kimesheheni sura za kila aina kama hii picha
IMG_20191223_104718.jpg

Pia niongezee kila atakayeingia kichwa kichwa kwa namna yeyote ile basi ni lazima tumkalishe.

Hivyo huko waliko wajipange kwani Kikosi cha Jf sio cha Mchezo mchezo.
 
Joto linazidi kupanda kwa wapinzani wetu.
MABEBERU FC.. kutoka KENYA..!

Ndugu yetu tuliempandikiza huko Kichwa Kichafu hebu tupe update huko..
 
Pia ndugu wasemaji tunaomba muiweke jezi ya team tutakayovaa kesho.. Tafadhali
 
Pia unazungumziaje mechi ya kesho itayokayokuwa hapa live..

Kurudishwa kwa buji buji..
Bazazi kupewa ucaptain
Ninaamini itakuwa big match kwani kama alivyotangulia kusema Numbisa uwepo wa Bujibuji utaongeza nguvu kwenye timu iliyodhoofishwa na hali ya hewa na wingu kubwa la ukosefu wa mambando na usomaji wa namba usiotabirika.

Huyo Bazazi kwa utulivu , maamuzi yake na hata umakini wake ninaamini atakuwa msimamiaji mzuri wa wachezaji wa timu ya JF ambao hawatakuwa wanaonewa hovyo hovyo na marefa hasa wale wakandamizaji katika kuwanyima haki zao wachezaji wa jf.

Hivyo yaliyofanyika yamefanyika kwa usahihi wa hali ya juu.
 
Asante sana ndugu msemaji kwa upembuzi yakinifu. Pia tungeomba jezi tutakazovaa ziwekwe hapa watu wazione
 
Back
Top Bottom