Kikosi bora cha mwaka JF

Kikosi bora cha mwaka JF

Update uongozi wa Chama cha soka kutoka jamii media.. (CHAKUJAME).. Umetangaza kwa masikitiko makubwa kuwa mechi baina ya jamii forum fc dhidi ya Mabeberu fc kutoka Kenya haitachezwa kesho bali itakuwa leo saa 2 na nusu usiku..

Uongozi unaomba radhi kwa hilo kwani ratiba imebana. Hivyo unawahimiza kufanya maandalizi haraka iwezekanavyo..

Imetolewa na makao Makuu ya chama
 
Back
Top Bottom