Kikosi bora cha mwaka JF


pancho boy

Kweli mimi Bazazi naweza kuwemo ktk 11 Bora (1st Eleven) ya JF. Siwezi kukubishia maana sijui umetumia vigezo gani, lakini siamini kama nastahili heshima hiyo!

Pamoja na maoni yangu, hongera!

Bazazi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rik boy umemsahau kwenye hiyo list.
Yeye anatoa uzi bora wa mwaka kule MMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…