Kikosi bora cha Simba SC 1990-2010

Said Swed Kusi alicheza namba 2 mzee wa kazi,Salum Sued Mkoba.Ila chama langu Simba Sc hawajawahi kuniangusha kwa kua na Makipa ngangari kwelikweli
 
Sijui kwanini siku hizi kumekua na umasikini wa kutupa wa Washambuliaji.Na ni dunia nzima hii naona.Acheni..zamani kuliko na strikers.
 
Sijui kwanini siku hizi kumekua na umasikini wa kutupa wa Washambuliaji.Na ni dunia nzima hii naona.Acheni..zamani kuliko na strikers.

Mpira sikuhizi umekua wa kisayansi sana.
Dunia ya leo haina kabisa wale wa kuitwa bull strikes kama Drogba.
mpira wa leo hauna wale wa kuitwa winga teleza, wale mawinga waliokua wanaambaa ambaa kwenye chaki kina Lunyamila, Akida makunda, Dua saidi, Alfred Kategile.
 
Mwameja na Kaseja ni mbingu na Ardhi, walicheza vipindi tofauti, Mwameja kastaafu mwishoni mwa miaka ya 90 wakati Kaseja kasajiliwa mwanzoni mwa miaka ya 2000,kuna uzi humu Mwameja alitakiwa na timu ya Afrika Kusini FAT wakati huo wakamfanyia mizengwe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona unaweka kikosi ambacho kiliishia 2004 huko ?

Ina maana katika miaka 6 iliyofuta hapo hakukuwa na mchezaji bora wakuweza kuingia kwenye hicho kikosi ?
1. MOHAMED MWAMEJA
2. SAID SUED
3. ALPHONCE MODEST
4. VICTOR COSTA NAMPOKA "NYUMBA"
5. GEORGE MAGERE MASATU
6. SELEMAN MATOLA
7. STEPHEN MAPUNDA "GARINCHA"
8. HUSSEIN MARSHA
9. ATHUMANI MACHUPPA
10. MADARAKA SELEMAN
11. NTEZE JOHN "LUNGU'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikosi hiki akosekane Emanuel Okwi? au Emanuel Gabriel ?
Vipi kuhusu Mussa Mgosi na Nico Nyagawa?
1. MOHAMED MWAMEJA
2. SAID SUED
3. ALPHONCE MODEST
4. VICTOR COSTA NAMPOKA "NYUMBA"
5. GEORGE MAGERE MASATU
6. SELEMAN MATOLA
7. STEPHEN MAPUNDA "GARINCHA"
8. HUSSEIN MARSHA
9. ATHUMANI MACHUPPA
10. MADARAKA SELEMAN
11. NTEZE JOHN "LUNGU'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba kagere na kujitahidi kote haingii. Au mpaka afariki?
 
Hapana ,Msimu wa kwanza wa kaseja simba alimkuta Mwameja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…