Mimi nazani kiuhalisia ilitakiwa uanZe na kaseja na sio huyo mwameja kwa sababu kaseja alikuwa na performance mzuri uwanjani na mafanikio ya kufika mbali kwenye vikombe vingi
Pili kaseja alvyofika simba mwameja alitafta kazi nyingine
Alafu victor Coster alicheza kidogo sana unaweza mtaja kama kipaji kikibwa ila sio gwiji ,Gwiji wa hiyo position at given time ni PAWASA
Hivi said Swed si central defender alaf mdogo ake Salam ndio fullback?
Vipi kuhusu E,Gabriel
Changu ni hiki
Kaseja
Pawasa
Alphonce Modest
Said Swed
Gorge Masatu
Matola
Ulimboka
Bobani
Gabriel
Mogela
Nico nyagawa
Sub,Mwameja,Maftah ,Kiemba,Henry Joseph, Abdalah Juma
Formation 3--1-2--2--2