Kikosi bora cha timu ya Mpira wa Miguu cha England kuwahi kutokea

Kikosi bora cha timu ya Mpira wa Miguu cha England kuwahi kutokea

Nilikuwa mtoto tu wakati huo.Niliwapenda sana, kitendo cha Gareth Southgate kupoteza penalty na wao kutolewa kiliniumiza mno. Nakumbuka kabla ya kufikia hatua ya matuta Gazza alikosa goli la wazi. Kwa wakati huo nilikuwa nawafahamu wachache tu kwani ilikuwa ni mashindano yangu ya kwanza ya kimataifa kufuatilia live. Niliokuwa nawafahamu walikuwa David Seaman, Gazza, Shearer, na Southgate (baada ya kukosa penalty). Wengine nimekuja kuwafahamu baadaye baada ya kuwa mfuatiliaji mzuri wa soka. Kwa hapo nawaona Gary Neville, Steve McManaman, David Seaman, Alan Shearer, Gazza, Teddy Sheringham, Tony Adams, Mkorofi Stuart Pearce na Southgate. Nakumbuka kulikuwa nakipa anaitwa Flowers na pia Paul Ince na Fowler. Sijui kama ni kikosi bora zaidi cha England lakini kinanikumbusha mbali kwa kweli!
Mwaka 96 mmmh,aiseee
Tatizo Jf tumechanganyikana sana,
 
Naamini kikosi bora ni kile kilichobeba kombe la dunia 66..

Kisha kinafata hiki... Wote wacheze ila chapombe gazza alikuwa hatari huyu jamaa...
Namuona mbabe baba mwenye nyumba kitasa mwenyewe tony adams
Golie mzuia magoli david seaman, career yake iliharibika kwa ronadinho 2002
Fundi steven mcmanaman waingereza itawachukua muda kupata fundi kama huyu, ni muingereza lakin anaujua mpira kama muhispain au muitaliano.
Kibabu sheringham
Alan shearer kibabu cha nyavu
Southgate
Mkorofi stuart pearce
Gary neville
 
Gazza nakumbuka kabla ya kwenda kupiga mkwaju wake wa penalty alikuwa akiongea na baadhi ya wachezaji wa jeremani ilikuwa kama anawaambia mimi nikienda pale nawafunga tu na alipiga penalty nzuri tu jamaa waqt yupo lazio kuna siku kamuokota nyoka akamuwekea di matteo mfukoni siku nyingine kocha wao dino zoff kamkwapua filimbi kisha akaenda kumfungia ndege (bird )aliporuka akasepa nayo. Kuhusu Blackburn rovers hicho kikosi shy given na Tim flower ndio walikuwa walinda mlango huko mbele alikuwapo Chris sutton watu kama hanning berg hata gremie le saux pia alijumuishwa kikosini.
Gazza alikuwa kituko chapombe yule.
 
Kabla ya fainali hiyo kikosini wingereza aliachwa midfielder mmoja matata sana wa new castle wakuitwa Peter Beardsley Gazza akatoa maoni yake "pamoja na kuwa na kikosi kizuri lakini Peter alitakiwa awemo kuna pasi huwa anatoa Peter karibu na goli nakiri hata mimi siwezi Gazza anasema Peter na Brian Laudrup alie cheza nae rangers ya uskochi ndio wachezaji wawili sio wachoyo duniani Gazza aliwahi kucheza nao "
 
Gazza alikuwa mtu wa vituko sana. Nakumbuka alivyomwaga chozi World cup ya 1990 pale Italy. Moja ya matukio ya kukumbukwa ktk World cup.
 
Naamini kikosi bora ni kile kilichobeba kombe la dunia 66..

Kisha kinafata hiki... Wote wacheze ila chapombe gazza alikuwa hatari huyu jamaa...
Namuona mbabe baba mwenye nyumba kitasa mwenyewe tony adams
Golie mzuia magoli david seaman, career yake iliharibika kwa ronadinho 2002
Fundi steven mcmanaman waingereza itawachukua muda kupata fundi kama huyu, ni muingereza lakin anaujua mpira kama muhispain au muitaliano.
Kibabu sheringham
Alan shearer kibabu cha nyavu
Southgate
Mkorofi stuart pearce
Gary neville
Mwaka wa 1966 golie Gordon banks huko mbele akisimama bobby Charlton mkungu Bobby moore pana nobby style maneno hayo ila walikuwa na mtu mmoja wa kuitwa Terence paine (terry paine )MBE (member of British empire )ambae sasa ni mchambuzi wa soka supersport wananyanyua kwapa wingereza.
 
bila kumsahau Sir Geoff Hurst, Mchezaji pekee mpaka sasa kufunga hat trick katika fainali ya World Cup.
 
Naamini kikosi bora ni kile kilichobeba kombe la dunia 66..

Kisha kinafata hiki... Wote wacheze ila chapombe gazza alikuwa hatari huyu jamaa...
Namuona mbabe baba mwenye nyumba kitasa mwenyewe tony adams
Golie mzuia magoli david seaman, career yake iliharibika kwa ronadinho 2002
Fundi steven mcmanaman waingereza itawachukua muda kupata fundi kama huyu, ni muingereza lakin anaujua mpira kama muhispain au muitaliano.
Kibabu sheringham
Alan shearer kibabu cha nyavu
Southgate
Mkorofi stuart pearce
Gary neville
Lakini wachambuzi wengi wa soka wanadai England ya 1966 iliyobeba kombe la dunia katika ardhi ya nyumbani ilibebwa mno mpaka wakachukua ndoo.

Rejea mechi ya Nusu Fainali iliyopangwa ifanyike Goodison Park jijini Liverpool kati ya England Vs Ureno ya Eusebio ilihamishwa masaa 24 ili ipigwe Wembley jijini London, ikawalazimu Ureno wasafiri tena kutoka Liverpool kurudi London na ikawagharimu kwa uchovu wa safari.

Ukija kwenye Fainali yenyewe England Vs Germany, mpaka leo inabaki kuwa mechi yenye utata mkubwa.
Matukio mawili makubwa yalitokea.

Mosi, England walifunga goli ambalo halikuvuka mstari na refa akalikubali na kuwarudisha mchezoni huku matokeo yakiwa ni 2-2.

Pili, kwenye extra time ikafanyika blanda ya karne, refa alikubali goli la England ambalo lilifungwa huku baadhi ya watazamaji wakiwa wameingia ndani ya Uwanja.

England akashinda 4-2 dhidi ya Ujerumani na kutawazwa kuwa mabingwa wapya wa Kombe la Dunia huku wakitumia vyema usemi wa " Mcheza kwao hutunzwa "

Kutoka Maktaba.
 
Naamini kikosi bora ni kile kilichobeba kombe la dunia 66..

Kisha kinafata hiki... Wote wacheze ila chapombe gazza alikuwa hatari huyu jamaa...
Namuona mbabe baba mwenye nyumba kitasa mwenyewe tony adams
Golie mzuia magoli david seaman, career yake iliharibika kwa ronadinho 2002
Fundi steven mcmanaman waingereza itawachukua muda kupata fundi kama huyu, ni muingereza lakin anaujua mpira kama muhispain au muitaliano.
Kibabu sheringham
Alan shearer kibabu cha nyavu
Southgate
Mkorofi stuart pearce
Gary neville
Wakiongozwa na foward machachari gary leneka
 
Umenikumbusha Paul Gascoine " Gazza " aliyeavaa jezi namba 8, moja kati ya Viungo bora kabisa wa Kiingereza, katika ubora wake alikuwa moto wa kuotea mbali sana.

Licha ya Kipaji Maridhawa alichobarikiwa na Muumba ila matumizi makubwa ya Pombe yalimfanya ashindwe kutamba sana uwanjani.

Pia nimemkumbuka Alan Shearer, Straika hatari wa Kiingereza, mpaka leo ana magoli 260 katika EPL ndio mfungaji bora wa wakati wote wa EPL. Na yeye pamoja na Kipaji kikubwa cha kutupia, alimkatalia Sir Alex Ferguson mara mbili kwenda Man Utd.
Ya kwanza wakati anatoka Southampton kwenda Blackburn.
Mara ya pili aliikataa Man Utd wakati anatoka Blackburn kwenda Newcastle Utd.
Unahitaji ujasiri wa hali ya juu kumkatalia Meneja Mahiri kama Sir Alex.

Mtoa mada naomba utuletee Kikosi cha Blackburn Rovers kilichotwaa ubingwa wa EPL katika siku ya mwisho ya Msimu wa 1994/1995.

Mpira sasa umebaki kwenye mbinu za kujilinda kuliko burudani.

Ahsante mtoa mada.
Paragraph yako ya Mwisho kwa kifupi tu, wapenzi wa soka tunaibiwa siku hizi!
 
England ya 90, itabakia kua bora kuliko zote. Ila Nakubali Shearer na Sheringham na Mcmanaman vipaji vao vikubwa.
Sheringham alikua Class ya aina yake very joyful kumtizama. Best England No 10.
 
Back
Top Bottom