90 ipi unazungumzia? 1990 au 1996? Kwangu mimi three lions ya 1990 ndio bora ingawa haikubeba taji lolote.
Baadhi ya wachezaji walikuwa
Peter Shilton, Poul Parker, Terry Butcher,Garry Liniker aliyeendesha juzi draw ya kombe la dunia mwakani kule Russia. Peter Berdslay, Chriss Waddle, John Burnes, David Platt Poul Gascogne na wengine.
Kwenye makundi walikuwa hivi
England
Holland
Ireland
Egpty.
Baada ya makundi walikutana kwenye mtoano na Cameroon ya Rodger Milla. Nusu fainali wakatandikwa na iliyokuwa Ujerumani Magharibi na kutupwa nje ya mashindano ambapo walikuja kuchapwa na wenyeji italia kwenye kumtafuta mshindi wa 3 na 4.
Hiko ndio kikosi bora kwangu.
Nakumbuka hizi game nilikuwa nikiangalia pale ccp nikiwa bado mtoto nikiongozana na baba yangu R.I.P Ndani ya land rover 109.