Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambo mzeeDuuuh, we mhenga ni wa kitambooo.
Huyo Kalusha nilimuona akiwa anamalizia career yake kwenye timu ya Taifa. Ilikuwa mwaka 1996 kama sijakosea, kwenye fainali za mataifa ya Afrika zilizofanyika Afrika kusini. Ben alianza kung'ara fainali zilizofanyika Mali 1998, fainali waliyoshiriki Kenya wakiwa na Oliech na kina Robert Mambo.Kalusha Bwalya uliwahi kumsikia? Na Ben MaCarthy je?
Kitambo mzeeDuuuh, we mhenga ni wa kitambooo.
Kitambo mzeeDuuuh, we mhenga ni wa kitambooo.
Kitambo mzeeDuuuh, we mhenga ni wa kitambooo.
Okocha alimfanya Oliver Kahn kitu mbaya sana!JJ Okocha hatari sana