Kikosi cha Brazil kitakachoelekea Urusi 2018 Kombe la Dunia

Kikosi cha Brazil kitakachoelekea Urusi 2018 Kombe la Dunia

Aaah hawawezi kumuondoa mkuu na ndiyo maana alivyopata majeruhi wakaamua wamchukue wakamtibu wenyewe

Sababu ni anahitajika sana kwenye kikosi cha brazil cha weldi kapu 2018 mkuu
Neymar hana lolote akiona mechi ngumu hakuna uwezekano wa kushinda anazuga kuumia...Aliikimbia Ujerumani na Real Madrid ,wamuondoe tu hana msaada wowote kwa timu
 
Hiki mimi ndio naona kinatisha
Screenshot_20180515-115607.jpeg
 
Neymar hana lolote akiona mechi ngumu hakuna uwezekano wa kushinda anazuga kuumia...Aliikimbia Ujerumani na Real Madrid ,wamuondoe tu hana msaada wowote kwa timu
Duuuh mkuu punguza chuki binafsi huyo anamsaada mkuu labda wewe ndiyo huuoni huo msaada
 
Keshaharibu anamuachaje dogo mwenye kipaji Allen Halilovic anakumbatia wazee ??
Pamoja na kuwa nje ya kikosi bado Croatia wanakikosi cha kushindana na timu kubwa kama German, Brazil, Spain na Argentina. Full vipaji. Angalia ma midlefilder walivyo. Wengi wa wachezaji wanaocheza ligi ya Ujerumani wapo vizuri.

Naamini kabisa watafika mbali.
 
Back
Top Bottom