laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
Neymar hana lolote akiona mechi ngumu hakuna uwezekano wa kushinda anazuga kuumia...Aliikimbia Ujerumani na Real Madrid ,wamuondoe tu hana msaada wowote kwa timuAaah hawawezi kumuondoa mkuu na ndiyo maana alivyopata majeruhi wakaamua wamchukue wakamtibu wenyewe
Sababu ni anahitajika sana kwenye kikosi cha brazil cha weldi kapu 2018 mkuu
bora wamrudishe Hulk au Pato, Neymar hana lolote mechi muhimu anazikimbia anaxuga kuumiaWakuweke wewe??
Sema wamuondoe wamuweke nani?
Danilo chochoroo! Unapita tu,vile vile luis unapita tu.Beki wa kulia sijaona hata mmoja
labda aliibeBrazil hachukui kombe
Hawawezi mkuu kwao kwasasa ndio superstar kama icon ya timu. Enzi za kina Rivaldo,Roberto Carlos, Ronaldo, Cafu na wengineo hali ya majeruhi kama hii angeweza kuachwa lakini si sasa.Neymar wamuondoe
Hajaitwa.Where is Alex Sandro. Huyu ni mzuri kuliko danilo
Hii ni preliminary squad, ngoja tuone 23 players squad mkuu.Hiki mimi ndio naona kinatishaView attachment 778043
Group E: Brazil, Costa Rica, Serbia na Switzerland. Hili kundi sio gumu kiasi cha kumfanya asivuke hatua ya makundi.nusu fainali mbali hivyo hata hatua ya makundi hakitoboi
Ha ha ha!Kwa timu hii straike yesu hawatoboa nusu
Hata mi nimemshangaa mkuu.Sababu ni nini. Sandro amecheza kwa kiwango kikubwa sana msimu huu akiwa Juventus. Tofauti na Danilo yeye kapata dk chache na game nyingi kaanzia bench. Tite hapa kachemka.
Cjui kwa nini kocha kafanya hivi labda kwa sababu sandro ni atacking . minded playerSababu ni nini. Sandro amecheza kwa kiwango kikubwa sana msimu huu akiwa Juventus. Tofauti na Danilo yeye kapata dk chache na game nyingi kaanzia bench. Tite hapa kachemka.
Duuuh mkuu punguza chuki binafsi huyo anamsaada mkuu labda wewe ndiyo huuoni huo msaadaNeymar hana lolote akiona mechi ngumu hakuna uwezekano wa kushinda anazuga kuumia...Aliikimbia Ujerumani na Real Madrid ,wamuondoe tu hana msaada wowote kwa timu
Keshaharibu anamuachaje dogo mwenye kipaji Allen Halilovic anakumbatia wazee ??Hiki mimi ndio naona kinatishaView attachment 778043
Nitajie kikosi kilichokuwa kinajaa wachezaji wa ligi yao tu!..labda enzi za kina Pele!!
!
Zamani Kikosi Kilikuwa Kinajaa Watu Wa Luigi Yao. Naona Siku Hizi Wamejaa Wachezaji Wa Ulaya Tu, Wa Ligi Ya Kwao Mmoja Tu.
Pamoja na kuwa nje ya kikosi bado Croatia wanakikosi cha kushindana na timu kubwa kama German, Brazil, Spain na Argentina. Full vipaji. Angalia ma midlefilder walivyo. Wengi wa wachezaji wanaocheza ligi ya Ujerumani wapo vizuri.Keshaharibu anamuachaje dogo mwenye kipaji Allen Halilovic anakumbatia wazee ??
danilo atakuwa anacheza cricketBeki wa kulia sijaona hata mmoja