Kikosi cha club ya Young Africans (Yanga) ndio kikosi bora kwa sasa Afrika

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito..

si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani kubwa sana.
Yanga wameonyesha uwezo mkubwa sana uwanjani.
 
Screenshot_2024-09-13-14-58-15-28.png
 
Mwehu wewe umeona vikosi vyote?
Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito..

si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani kubwa sana.
Yanga wameonyesha uwezo mkubwa sana uwanjani.
Wewe
 
Wale waabeshi bado sio kipimo, ngoja tuone uko mbele ya safari
Kwani yanga keshacheza na timu ngapi ngumu mpaka sasa na akashindwa kuonyesha kiwango mpaka useme wahabeshi sio kipimo? Yanga keshacheza na Ahl ahly keshacheza na mamelod, keshacheza na tp mazembe na wote hao walionja joto ya jiwe, unataka kipimo kipi unachokitaka?
 
Matokeo ya hizo mechi yalikuaje?, uyo mazembe unaemzungumzia msimu uliopita kaenda semi final wewe umefika wapi? na umeona timu yake msimu huu ilivyo?vp ahly unaesema alionja joto ya jiwe aliishia stage gani?, Umeona wachezaji alioongeza? Mpira hauangaliwi upande mmoja mzee, otherwise kama umeongea kishabiki ntakuelewa
 
Back
Top Bottom