Kikosi cha club ya Young Africans (Yanga) ndio kikosi bora kwa sasa Afrika

Kikosi cha club ya Young Africans (Yanga) ndio kikosi bora kwa sasa Afrika

Yanga wajifunze kwa Al Ahly ya Misri,Experience ya Tunisia ,Mamelod ni timu ambazo hazibweteki . Yanga Kuna muda wanabweteka na baadhi ya wachezaji wake wanakuwa na utoto na kujifanya mastaa sana wachezaji kama Pacome,Aziz K wanahitajika kubadilika wawe Wanacheza kitimu mechi zote sio wanachagua baadhi ya mechi.

Pia Yanga Kuna tatizo la kukosa mabao mengi ya wazi , Prince Dube. na Musonda wanaongoza kwa kukosa mabao ya wazi watahitajika wajifue zaidi wawe fit kufunga katika mazingira magumu wasitegemee kufunga mabao mepepesi mepepesi TU timu kubwa Zina mabeki wagumu hawakupi muda wa kupata nafasi ya kufunga kirahisi.

Max Nzengeli nae Kuna vipindi vingi tu anakuwa mbinafsi sio mwepesi wa kitoa assist mchezaji m
 
Max Nzengeli anatakiwa atoe assist kwa mchezaji mwenzake aliye kwenye nafasi ya kufunga kuliko yeye kulazimisha mashut sehemu ambao angempa mwenzake ajifunze kwa Clotus Chama ,Chama sio mbinafsi anajua kuchezesha timu kwa usahihi.

Hata hivyo Yanga Ina wachezaji wazuri sana na Yanga Ina uwezo wa kucheza na timu yoyote ugenini na ikapata matokeo mazuri ,mechi ya Jana na CBE Kila kiwango wanatakiwa wakiboreshe zaidi bila kubweteka.
 
Kuna mtu kapewa kuangusha mnazi kwa shoka mwingine kapewa kazi ya kuangusha mpapai kwa wembe.
 
Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito..

si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani kubwa sana.
Yanga wameonyesha uwezo mkubwa sana uwanjani.
Na wapo club bingwa ya dunia.
 
Back
Top Bottom