Anyway ngoja tuone ila mpira unamambo mengi, kuna kushuka viwango, majeruhi na kuchoka kwa wachezaji, tusubiri tuone msimu bado mrefu sanaSio swala la waabeshi..ila kila nikikitazama hiki kikosi kina kitu na kimedhamiria kufanya kitu unaona kabisa.
Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito..
si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani kubwa sana.
Yanga wameonyesha uwezo mkubwa sana uwanjani.
WeweNimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito..
si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani kubwa sana.
Yanga wameonyesha uwezo mkubwa sana uwanjani.
Siobviwete watu wa stress xa vita hukoYaaani kucheza na kuwashinda hao viwete ndo kishakuwa kikosi Bora?
Kwa hiyo kuna ubora wa kikosi bila matokeo?Sio swala la agg mm naongelea kikosi bora kabisa kwa msimu huu.
Kwani yanga keshacheza na timu ngapi ngumu mpaka sasa na akashindwa kuonyesha kiwango mpaka useme wahabeshi sio kipimo? Yanga keshacheza na Ahl ahly keshacheza na mamelod, keshacheza na tp mazembe na wote hao walionja joto ya jiwe, unataka kipimo kipi unachokitaka?Wale waabeshi bado sio kipimo, ngoja tuone uko mbele ya safari
Ligi ya ulaya ya wanawake amaaaaYanga ni timu bora zaidi Afrika, ina cheza inavyotaka, inakufunga inavyotaka, ikiamua, kunashabiki mmoja wa London UK alidiriki kusema, timu inastahili kucheza ligi ya Ulaya! 😂 kwa uchezaji wake!
Matokeo ya hizo mechi yalikuaje?, uyo mazembe unaemzungumzia msimu uliopita kaenda semi final wewe umefika wapi? na umeona timu yake msimu huu ilivyo?vp ahly unaesema alionja joto ya jiwe aliishia stage gani?, Umeona wachezaji alioongeza? Mpira hauangaliwi upande mmoja mzee, otherwise kama umeongea kishabiki ntakuelewaKwani yanga keshacheza na timu ngapi ngumu mpaka sasa na akashindwa kuonyesha kiwango mpaka useme wahabeshi sio kipimo? Yanga keshacheza na Ahl ahly keshacheza na mamelod, keshacheza na tp mazembe na wote hao walionja joto ya jiwe, unataka kipimo kipi unachokitaka?