Yanga wajifunze kwa Al Ahly ya Misri,Experience ya Tunisia ,Mamelod ni timu ambazo hazibweteki . Yanga Kuna muda wanabweteka na baadhi ya wachezaji wake wanakuwa na utoto na kujifanya mastaa sana wachezaji kama Pacome,Aziz K wanahitajika kubadilika wawe Wanacheza kitimu mechi zote sio wanachagua baadhi ya mechi.
Pia Yanga Kuna tatizo la kukosa mabao mengi ya wazi , Prince Dube. na Musonda wanaongoza kwa kukosa mabao ya wazi watahitajika wajifue zaidi wawe fit kufunga katika mazingira magumu wasitegemee kufunga mabao mepepesi mepepesi TU timu kubwa Zina mabeki wagumu hawakupi muda wa kupata nafasi ya kufunga kirahisi.
Max Nzengeli nae Kuna vipindi vingi tu anakuwa mbinafsi sio mwepesi wa kitoa assist mchezaji m