GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki Florent Ibenge, jana.
Hata hivyo ninachofurahi tu ni kwamba Mimi kwa 90% nimeshavuka Robo Fainali CAFCC sasa Shughuli wanayo Wao ili nani apite huko Kundini Kwao CAFCL ila ninachojua tu ni kwamba Moto utawaka.
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Mwambieni Kocha Ibenge kuwa huo Mgawo kutoka Kampuni ya Kitapeli Posta alioupata asisahau kumjengea hata Kakibanda tu Demu wake mwenye Jina linaoanzia na Herufi A wa Petrol Station moja Kubwa Mbagala.
Ndiyo maana kila mara Klabu ya Simba SC ikitaka Kumuajiri kama Kocha huwa Wanasita kwani huenda Uongozi wa Simba SC nao umeshajua kuwa Ibenge ni Mnafiki / Ndumilakuwili Tukuka.