Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Gogo wanakatia humo humo....dah.Mna hela ya kumlipa ibenge nyie matokeo ya jana ya yanga yanawafanya makolo wasiende hata kukata gogo mnacheza mashindano ya kimama hili nimeliona jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gogo wanakatia humo humo....dah.Mna hela ya kumlipa ibenge nyie matokeo ya jana ya yanga yanawafanya makolo wasiende hata kukata gogo mnacheza mashindano ya kimama hili nimeliona jana
Tutajie hao watoto wa under 23 walioanza jana ili tukutoe kwenye wafuasi wa mbumbumbu fcJana ibenge kaweka watoto under23
Ibenge alikariri maisha,,alidhani bado yanga ni mdebwedo kama kipindi kile anashinda kwa mkapa kakutana na code nyingine kachanganyikiwa mpaka alianza kuwahesabu wachezaji sijui alidhani wamezidi🤣🤣Ibenge naye kachanganyikiwa huko kama wewe. Licha ya kuweka full amepigwa na kitu kizito.
Aisee wasudan wamepiga boli ila lile kombora la Ki aziz li kama missile za kirusi hata makipa wao wote, manula, pinpin sijui na wengine wote wangejipanga golini wasingeona kituIbenge ni mhuni alisikika akisema atapumzisha wachezaji wake muhimu kwakuwa ashafuzu lakini jana kaweka full mkoko na katumia nguvu kubwa sana lakini gusa achia twende kwao imemuachia simanzi kwa kipigo!
Kuna muda nliona upara wake unafuka moshi aisee Ki Aziz ni hatari sana yule kijanaIbenge alikariri maisha,,alidhani bado yanga ni mdebwedo kama kipindi kile anashinda kwa mkapa kakutana na code nyingine kachanganyikiwa mpaka alianza kuwahesabu wachezaji sijui alidhani wamezidi🤣🤣
Lile goli hakuna hata lawama yoyote anafungwa paleNadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki Florent Ibenge, jana.
Hata hivyo ninachofurahi tu ni kwamba Mimi kwa 90% nimeshavuka Robo Fainali CAFCC sasa Shughuli wanayo Wao ili nani apite huko Kundini Kwao CAFCL ila ninachojua tu ni kwamba Moto utawaka.
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Mwambieni Kocha Ibenge kuwa huo Mgawo kutoka Kampuni ya Kitapeli Posta alioupata asisahau kumjengea hata Kakibanda tu Demu wake mwenye Jina linaoanzia na Herufi A wa Petrol Station moja Kubwa Mbagala.
Ndiyo maana kila mara Klabu ya Simba SC ikitaka Kumuajiri kama Kocha huwa Wanasita kwani huenda Uongozi wa Simba SC nao umeshajua kuwa Ibenge ni Mnafiki / Ndumilakuwili Tukuka.
Makolo wa Ibenge mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga imegawa mgao..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie mlinunuliwa mara zote nne au la..!!Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki Florent Ibenge, jana.
Hata hivyo ninachofurahi tu ni kwamba Mimi kwa 90% nimeshavuka Robo Fainali CAFCC sasa Shughuli wanayo Wao ili nani apite huko Kundini Kwao CAFCL ila ninachojua tu ni kwamba Moto utawaka.
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Mwambieni Kocha Ibenge kuwa huo Mgawo kutoka Kampuni ya Kitapeli Posta alioupata asisahau kumjengea hata Kakibanda tu Demu wake mwenye Jina linaoanzia na Herufi A wa Petrol Station moja Kubwa Mbagala.
Ndiyo maana kila mara Klabu ya Simba SC ikitaka Kumuajiri kama Kocha huwa Wanasita kwani huenda Uongozi wa Simba SC nao umeshajua kuwa Ibenge ni Mnafiki / Ndumilakuwili Tukuka.
KApakatwe we shangazi unahamu ya kupakwa wese nn?Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki Florent Ibenge, jana.
Hata hivyo ninachofurahi tu ni kwamba Mimi kwa 90% nimeshavuka Robo Fainali CAFCC sasa Shughuli wanayo Wao ili nani apite huko Kundini Kwao CAFCL ila ninachojua tu ni kwamba Moto utawaka.
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Mwambieni Kocha Ibenge kuwa huo Mgawo kutoka Kampuni ya Kitapeli Posta alioupata asisahau kumjengea hata Kakibanda tu Demu wake mwenye Jina linaoanzia na Herufi A wa Petrol Station moja Kubwa Mbagala.
Ndiyo maana kila mara Klabu ya Simba SC ikitaka Kumuajiri kama Kocha huwa Wanasita kwani huenda Uongozi wa Simba SC nao umeshajua kuwa Ibenge ni Mnafiki / Ndumilakuwili Tukuka.
Mkongoman akiiona hata dola 1000 mezani anaingiwa na uchizi atafanya chochote utakacho na ndio kilichotokea jana huko kwa WanubiNadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki Florent Ibenge, jana.
Hata hivyo ninachofurahi tu ni kwamba Mimi kwa 90% nimeshavuka Robo Fainali CAFCC sasa Shughuli wanayo Wao ili nani apite huko Kundini Kwao CAFCL ila ninachojua tu ni kwamba Moto utawaka.
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Mwambieni Kocha Ibenge kuwa huo Mgawo kutoka Kampuni ya Kitapeli Posta alioupata asisahau kumjengea hata Kakibanda tu Demu wake mwenye Jina linaoanzia na Herufi A wa Petrol Station moja Kubwa Mbagala.
Ndiyo maana kila mara Klabu ya Simba SC ikitaka Kumuajiri kama Kocha huwa Wanasita kwani huenda Uongozi wa Simba SC nao umeshajua kuwa Ibenge ni Mnafiki / Ndumilakuwili Tukuka.
Tumeshika calculator,hesabu zinakuja vizuri.Utopolo bado hajafuzu , tunakumbushana tu
Naam!Mkwepa kodi tulia TRA(Touch,release and attack them) itakufikia popote ulipo
Kilichomkuta Ibenge ndio kilichomkuta OKW BOBAN SUNZU pale kwa Mkapa dhidi ya tio yake ya Tp MazembeIbenge alikariri maisha,,alidhani bado yanga ni mdebwedo kama kipindi kile anashinda kwa mkapa kakutana na code nyingine kachanganyikiwa mpaka alianza kuwahesabu wachezaji sijui alidhani wamezidi[emoji1787][emoji1787]
Sio wote ndugu. Mwambie yeye huyo Popoma. Huenda mimi nipo tofauti sana na mashabiki wengine. Timu yoyote ya Tanzania inayoshiriki mashindano ya Kimataifa,huwa nawaombea heri na hufurahi pale wanapofanya vizuri.Mtateseka sana!!
Ni furaha ya kinafiki tu mkuu. Huwezi kuwa neutral kwenye utani wa jadi. Kama wewe ni shabiki wa Yanga huwezi ifurahia Simba and vice versa is true.Sio wote ndugu. Mwambie yeye huyo Popoma. Huenda mimi nipo tofauti sana na mashabiki wengine. Timu yoyote ya Tanzania inayoshiriki mashindano ya Kimataifa,huwa nawaombea heri na hufurahi pale wanapofanya vizuri.
kwenye kufungwa mala tano watapinga,wataanza kusema mmetupiga mala nne tu kana kwamba ni sifa 5imba bwana.Unachokifanya ni kutapatapa na kutafuta justfication juu ya ushindi wa yanga kuwa si halali lkn ww umefungwa mara 5 mfululizo. Kwann hutaki kukubali uwezo wa yanga kutwa nyuzi zisizo na kichwa wala miguu na vihabari vya kuokoteza kushoto na kulia kuwa mwanamichezo basi
Usinisemee. Jisemee mwenyewe. Kama wewe huwezi mimi nimejaliwa hivyo ila ni kwenye mashindano ya Kimataifa pekee. Mimi sina unafiki kabisa kwenye hili. Moyo wangu uko mweupe kabisa. Kwenye mechi za ndani tu hapo ndipo huwa sifurahii Yanga kuwa juu ya Simba hata kidogo.Ni furaha ya kinafiki tu mkuu. Huwezi kuwa neutral kwenye utani wa jadi. Kama wewe ni shabiki wa Yanga huwezi ifurahia Simba and vice versa is true.
Mimi nakuambia Yanga haingii robo hata kwa manatiMakolo wa Ibenge mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga imegawa mgao..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mpigwa mara nne mfululizo. Sasa sijui na nyie mlinunuliwa mara zote nne au la..!!
1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani
2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
Ibenge bahasha
Kudra za mwenyezi Mungu
etc..
Ulichokiandika ni muendelezo wa umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.
CC Kalpana, Mshana Jr, Muite BonventureSr, SAYVILLE, pesakilakitu, moudgulf, OKW BOBAN SUNZU, et el
Sawa mkuu, ila saikolojia ya soka la vilabu ipo wazi, hiyo ni Furaha ya kinafiki na inatumiwa zaidi na wanasiasa kwa maslahi ya kutokugawa wapiga kura au kupata kura. Uzalendo Uchwara.Usinisemee. Jisemee mwenyewe. Kama wewe huwezi mimi nimejaliwa hivyo ila ni kwenye mashindano ya Kimataifa pekee. Mimi sina unafiki kabisa kwenye hili. Moyo wangu uko mweupe kabisa. Kwenye mechi za ndani tu hapo ndipo huwa sifurahii Yanga kuwa juu ya Simba hata kidogo.