toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Simba kapigwa Mara 4 mfululizo, nani alipewa bahasha, yan simba kama wake wenza anataka akazwe yeye tu akikazwa mwenzie inakuwa nongwa...Hamtaki tuwagonge watu wengine ila nyie tu. Mkifungwa nyie halali, wakufungwa wengine wamehongwa...Mara ya mwisho si tumewagonga kimoja cha roho mbaya au umesahau mkuu ?Mkongoman akiiona hata dola 1000 mezani anaingiwa na uchizi atafanya chochote utakacho na ndio kilichotokea jana huko kwa Wanubi