Kikosi cha Ibenge alichofungwa Mauritania jana ni kilekile alichoshinda Mechi ya awali Tanzania?

Ibenge ni mhuni alisikika akisema atapumzisha wachezaji wake muhimu kwakuwa ashafuzu lakini jana kaweka full mkoko na katumia nguvu kubwa sana lakini gusa achia twende kwao imemuachia simanzi kwa kipigo!
Aisee wasudan wamepiga boli ila lile kombora la Ki aziz li kama missile za kirusi hata makipa wao wote, manula, pinpin sijui na wengine wote wangejipanga golini wasingeona kitu
 
Ibenge alikariri maisha,,alidhani bado yanga ni mdebwedo kama kipindi kile anashinda kwa mkapa kakutana na code nyingine kachanganyikiwa mpaka alianza kuwahesabu wachezaji sijui alidhani wamezidi🤣🤣
Kuna muda nliona upara wake unafuka moshi aisee Ki Aziz ni hatari sana yule kijana
 
Lile goli hakuna hata lawama yoyote anafungwa pale
 
Makolo wa Ibenge mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga imegawa mgao..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie mlinunuliwa mara zote nne au la..!!

1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani

2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
Ibenge bahasha
Kudra za mwenyezi Mungu
etc..

Ulichokiandika ni muendelezo wa umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.

CC Kalpana, Mshana Jr, Muite BonventureSr, SAYVILLE, pesakilakitu, moudgulf, OKW BOBAN SUNZU, et el
 
KApakatwe we shangazi unahamu ya kupakwa wese nn?
 
Mkongoman akiiona hata dola 1000 mezani anaingiwa na uchizi atafanya chochote utakacho na ndio kilichotokea jana huko kwa Wanubi
 
Ibenge alikariri maisha,,alidhani bado yanga ni mdebwedo kama kipindi kile anashinda kwa mkapa kakutana na code nyingine kachanganyikiwa mpaka alianza kuwahesabu wachezaji sijui alidhani wamezidi[emoji1787][emoji1787]
Kilichomkuta Ibenge ndio kilichomkuta OKW BOBAN SUNZU pale kwa Mkapa dhidi ya tio yake ya Tp Mazembe
 
Sio wote ndugu. Mwambie yeye huyo Popoma. Huenda mimi nipo tofauti sana na mashabiki wengine. Timu yoyote ya Tanzania inayoshiriki mashindano ya Kimataifa,huwa nawaombea heri na hufurahi pale wanapofanya vizuri.
Ni furaha ya kinafiki tu mkuu. Huwezi kuwa neutral kwenye utani wa jadi. Kama wewe ni shabiki wa Yanga huwezi ifurahia Simba and vice versa is true.
 
kwenye kufungwa mala tano watapinga,wataanza kusema mmetupiga mala nne tu kana kwamba ni sifa 5imba bwana.
 
Ni furaha ya kinafiki tu mkuu. Huwezi kuwa neutral kwenye utani wa jadi. Kama wewe ni shabiki wa Yanga huwezi ifurahia Simba and vice versa is true.
Usinisemee. Jisemee mwenyewe. Kama wewe huwezi mimi nimejaliwa hivyo ila ni kwenye mashindano ya Kimataifa pekee. Mimi sina unafiki kabisa kwenye hili. Moyo wangu uko mweupe kabisa. Kwenye mechi za ndani tu hapo ndipo huwa sifurahii Yanga kuwa juu ya Simba hata kidogo.
 
Mimi nakuambia Yanga haingii robo hata kwa manati
Yanga akihangaika kuingia robo
 

Attachments

  • IMG_4656.png
    2.1 MB · Views: 2
Sawa mkuu, ila saikolojia ya soka la vilabu ipo wazi, hiyo ni Furaha ya kinafiki na inatumiwa zaidi na wanasiasa kwa maslahi ya kutokugawa wapiga kura au kupata kura. Uzalendo Uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…