Simba kapigwa Mara 4 mfululizo, nani alipewa bahasha, yan simba kama wake wenza anataka akazwe yeye tu akikazwa mwenzie inakuwa nongwa...Hamtaki tuwagonge watu wengine ila nyie tu. Mkifungwa nyie halali, wakufungwa wengine wamehongwa...Mara ya mwisho si tumewagonga kimoja cha roho mbaya au umesahau mkuu ?
Sisi match ngumu ndio tunataka na ndio kipimo cha timu yetu inaweza kupambanaje...Tukiwagonga waarabu tungependa tupewe Masandawana tuwakague tena tuone kama watafanya zurumati, tukimaliza hao tupewe mafarao wa Misri na wenyewe tuwakande , nadhani tukimaliza hii ratiba ngumu ndio tukutane nanyi lupaso tuwakande mara ya tano, mrudi kugombana mfukuze bwana fadru muanze upya, mwaka huu mtacheza sana kiwanzenza..