Huu ni utani mazee,wanawake wakapambae na magaidi!
Wataweza kwa kiasi chao,lakini haina maana kwamba wao ni wakali kuriko vikosi vyote vinavyopambana na ugaidi!
Nenda kaangalia movie moja ,"lone survivor"jinsi hiyo filamu ilivyosimulia tukio la kweli ambalo,kikosi kizima cha NAVY SEAL kilivyosambaratishwa na magaidi wa Alqaida,akapona mmoja.
Kama NAVY SEAL,walitoka jasho,sembuse hao Dada zenu,
"Black Hawk down,unaikumbuka,makomandoo,wa USA,walismabaratishwa na Magaidi wa Somalia,
Acha kabisa kitu gaidi,hata ujue style zote za martial art,sio kigezo cha kuwa mkali