babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Nani asie jua wakenya ni midomo mirefu
Wacha niongeze kiasi. Hawa wanadada wanaweza waondoa presidential Guard wa Magufuli kwa dakika mbii na kumleta Magu Hadi ikulu ya Nakuru ateremshe kikombe Cha chai na arejeshwe Dar na Wanadada Hawa warudi Kenya pole pole bila kuulizwa na yeyote.