babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wacha niongeze kiasi. Hawa wanadada wanaweza waondoa presidential Guard wa Magufuli kwa dakika mbii na kumleta Magu Hadi ikulu ya Nakuru ateremshe kikombe Cha chai na arejeshwe Dar na Wanadada Hawa warudi Kenya pole pole bila kuulizwa na yeyote.
Ni kweli wako na kikosi Cha swat Cha kinadada? Tz hawanaNani asie jua wakenya ni midomo mirefu
Mm sio mwanajeshi, kuhusu kuwa na kikosi ka hicho labda siku mtuchokoze mpate dawa nyie endeleeni kujisifia ujingaNi kweli wako na kikosi Cha swat Cha kinadada? Tz hawana
Ni kweli GDP ya waKenya ni kubwa kuliko ya Watanzania? 61 vs 100
Ni kweli SGR ya Kenya inachapa kazi? Ya Tz hata Km 50 zimewashinda.
Umeme wa Kenya ni mwingi 2700MW? Wa Tanzagiza ni 1359.69Mw?
Population ya Kenya ni 45Million? Population ya Tanzagiza ni Millioni 60...mnaweza aje na umeme mdogo hivo?
Tudanganye Kaka Sasa kwa kukanusha hao hapo juu.
Tumewashinda kila kitu...Kama SGR haijakamilika no sawa kusa na zero.Mm sio mwanajeshi, kuhusu kuwa na kikosi ka hicho labda siku mtuchokoze mpate dawa nyie endeleeni kujisifia ujinga
GDP ya kwenye makaratasi isiyoweza hata kufanya mradi kwa Pesa zake hadi ukope
Umeme huko kwenu unapotea wiki meanwhile huku Sikumbuki mara ya mwisho kusikia umeme kuondoka ni lini na hata ukiondoka ni emergency ya matengenezo
Sgr kutushinda umesema ww hiyo, SGR inajengwa na inaendelea vizuri sema ni wivu na chuki by nature tena sio mitungi ya changaa ka hiyo yenu.
Kuhusu population wacha tuwe wengi maana tunazaliana kwa sababu tuna chakula cha kutosha na tunalima.
Tumewashinda kila kitu...Kama SGR haijakamilika no sawa kusa na zero.
Mnakula Kinyesi na umeme hauitoshi
GDP yenu ndogo si pia ni ya makaratasi
Umeme wetu ni 2700MW population ya 45million
Kwenu Tanzagiza 1359.69MW population ya 60million....Ni wapi umeme hauitoshi ukitumia akili badala ya makalio/hisia/emotions?
Nimekupa ukweli Sasa umeanza Kumwaga povu Kama kawaida yako. Sindano imekuingia Hadi kwa mfupa.Nmekupa ukweli wote hapo juu ila kwa sababu mna ubishi by nature unataka ushindane na mm kwa upumbavu wako
Hujasoma neno hapo limeandikwa Israel? Acha kupotosha basi... Marekani Somalia hana cha kuchukua zaidi aliwapotezea tu ila bado anawachapaDelta force wa USA walijidai kushuka kwa mbwembwe Magadishu, walitandikwa na Wasomali mpaka wakakimbia na waliokamatwa wakaliwa nyama live. Kama sikosei 1993.
USA hawana hamu ya kurudi Somalia mpaka leo. Sasa wanawatumia jeshi la Kenya kama askari wa kukodiwa. Fedha wanakula wazee juu huko vijana wanapambanishwa na Wasomali.
Mabwana zao wanatandikwa kila kukicha sasa wawapeleke hao wawanawake zao.
"Strategy" yao imesha buma kabla haijaanza.
Nimekupa ukweli Sasa umeanza Kumwaga povu Kama kawaida yako. Sindano imekuingia Hadi kwa mfupa.
Ungesoma mwanzo wa mada ungeelewa kwanini waTz wamekua upande wa pili Mkuu.Huwa sielewi kwanini hawa jirani zetu wanapenda kusifia magaidi. Ni nini hicho 'special' ambacho magaidi wanacho, isipokuwa kutekeleza mauaji kwa kujitoa mhanga na kutega mabomu kisirisiri ili waue watoto, wazee, wajawazito na watu wasio na hatia? Inamaana kwamba kwenye akili zenu mnajua uwezo wa magaidi kivita huwa wanazaliwa nao? Au ndio huwa wanapata nguvu za ziada kwasababu wanafuga ndevu?
Nimesoma yote! Kwahivyo mlivoambiwa kwamba mtachapwa mkaona bora muunge mkono ugaidi? Kwa kuhalilisha unyama wao hivi majuzi wa kuwachinja chinja watanzania wenzenu ambao hawakuwa na hatia kule Mozambique? Damu ya ndugu zenu inamwagiki na nyie hapo mnakenua kenua??? Hebu nieleweshe huo mtizamo wenu kwamba magaidi ni marafiki wa Tz na maadui wa majirani zenu.Ungesoma mwanzo wa mada ungeelewa kwanini waTz wamekua upande wa pili Mkuu.
It is not about fear or being law abiding, it is an issue of freedom and liberty. A democracy like ours and others across the world have also produced tyrannical leaders at some point, who will have such an immense reach to the citizens and it diminishes trust between citizens and law enforcement . It ultimately leads to more police brutality and more police murders apart from instilling fear in the population, because it changes the attitude of the police from that of guardian to warrior. It has been well documented even in America where their police is already militarized.If you are law abiding citizen then you have nothing to fear, dear.
Hujasoma neno hapo limeandikwa Israel? Acha kupotosha basi... Marekani Somalia hana cha kuchukua zaidi aliwapotezea tu ila bado anawachapa
Hiyo ni news ya karibuni but US alizamia Somalia early 90s..Hivi kumbe huelewi Somalia kuna nini?
Soma Hiyooo...
Seismic surveys conducted by two British companies, Soma Oil & Gas and Spectrum Geo, suggest that Somalia has promising oil reserves along the Indian Ocean coast, between the cities of Garad and Kismayo. Total offshore deposits could be as high as 100 billion barrels.Feb 13, 2019
https://www.voanews.com › africa
Somalia Readies for Oil Exploration, Still Working on Petroleum Law | ...
Hayajaanza leo hayo, kabla hata utawala wa Siad Barre haujapinduliwa mambo yalikuwa wazi. Soma hiyoo...Hiyo ni news ya karibuni but US alizamia Somalia early 90s..
Hizo tafiti hata Zanzibar wadhafanya hadi kutaka kuleta utengano