technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kikosi cha kuiua USM kwao
Kikosi kiwe 3:5:2
1 Diara
2 Juma Shaban
3 Lomalisa
4 Mwamunyeto
5 Job
6 Baka
7 Zawadi mauya
8: Bangala
9 Mayele
10: Mudathir
11 Morrison
Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto.
Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala
Mbele Wabaki Mayele na Morrison
Hawa wasikabe kazi yao ni kushambulia na wote wakae pembeni ya uwanja wakae bila mtu yeyote wa kuwamaki kazi yao kubwa iwe wakipata mpira wanafanya kukokota kuelekea kwenye box
Wakikaa pembeni watawalazimisha wale fullback wawili wa USM wasipande.
Pia itatoa nafasi kwa viungo 5 wa Yanga kuweka presha kwenye mpira tutengeneze mabao kutoka pembeni na inawezekana.
Maana tukiziba pembeni ambapo ukiangalia mabao yao yote mawili yalitokea hawana uwezo wa kupita katikati tutakuwa tumejaza viungo.
Tia nje Azziz ki na Musonda wataingia badae !!!
Tukienda hivi hii game tunashinda 3 kwa moja. Au 4 kwa 2 !!