Kikosi cha kushinda Algeria kiwe 3:5:2

Kikosi cha kushinda Algeria kiwe 3:5:2

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kikosi cha kuiua USM kwao
Kikosi kiwe 3:5:2

1 Diara
2 Juma Shaban
3 Lomalisa
4 Mwamunyeto
5 Job
6 Baka
7 Zawadi mauya
8: Bangala
9 Mayele
10: Mudathir
11 Morrison

Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto.

Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala

Mbele Wabaki Mayele na Morrison

Hawa wasikabe kazi yao ni kushambulia na wote wakae pembeni ya uwanja wakae bila mtu yeyote wa kuwamaki kazi yao kubwa iwe wakipata mpira wanafanya kukokota kuelekea kwenye box

Wakikaa pembeni watawalazimisha wale fullback wawili wa USM wasipande.

Pia itatoa nafasi kwa viungo 5 wa Yanga kuweka presha kwenye mpira tutengeneze mabao kutoka pembeni na inawezekana.

Maana tukiziba pembeni ambapo ukiangalia mabao yao yote mawili yalitokea hawana uwezo wa kupita katikati tutakuwa tumejaza viungo.

Tia nje Azziz ki na Musonda wataingia badae !!!

Tukienda hivi hii game tunashinda 3 kwa moja. Au 4 kwa 2 !!
 
Angalau umechukua mawazo yangu.

Nilizani Nabi angerekebisha kidogo Jana.

MFUMO mzuri zaidi ulikuwa ni 3 : 4 : 2 : 1

KIKOSI Cha Mechi ya Marudiano KURUDI kama Cha Jana kisibadirike.
 
Kikosi cha kuiua USM kwao
Kikosi kiwe 3:5:2

1 Diara
2 Juma Shaban
3 Lomalisa
4 Mwamunyeto
5 Job
6 Baka
7 Zawadi mauya
8: Bangala
9 Mayele
10: Mudathir
11 Morrison

Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto.

Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala

Mbele Wabaki Mayele na Morrison

Hawa wasikabe kazi yao ni kushambulia na wote wakae pembeni ya uwanja wakae bila mtu yeyote wa kuwamaki kazi yao kubwa iwe wakipata mpira wanafanya kukokota kuelekea kwenye box

Wakikaa pembeni watawalazimisha wale fullback wawili wa USM wasipande.

Pia itatoa nafasi kwa viungo 5 wa Yanga kuweka presha kwenye mpira tutengeneze mabao kutoka pembeni na inawezekana.

Maana tukiziba pembeni ambapo ukiangalia mabao yao yote mawili yalitokea hawana uwezo wa kupita katikati tutakuwa tumejaza viungo.

Tia nje Azziz ki na Musonda wataingia badae !!!

Tukienda hivi hii game tunashinda 3 kwa moja. Au 4 kwa 2 !!
Mi ningependa kutofautina na wewe kidogo kwenye mfumo..
Ila nimependa kikosi chako japo natamani tucheze 4-3-3 attacking... Kikosi kiwe hivi
Diarra
Djuma Shaban, Bacca, Mwamnyeto, Lomalisa
Mudathir, Bangala, Ki Aziz
Morrison, Mayele, Moloko

Huu mfumo mwarabu unapasua mapema sana maana Morrison na Moloko watawazia Sana wao wasioande hii itatoa nafasi Kwa beki za pembeni kupanda uzuri djuma Shaban na Lomalisa wanajua kumwaga maji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee uchambuzi gani huo,yaaani mnaenda ugenini afu unaanza na beki 3,kudadeki mbona maji mtaita mma,wasijaribu kuiga mifumo ya kipara wa man city,watakula10.
 
Huo mfumo ndo wa kucheza ugenini,ila sasa mkicheza hivi kila mchezaji anafaa kukaba,sasa je mori mori huwa anakaba???
 
Kikosi cha kuiua USM kwao
Kikosi kiwe 3:5:2

1 Diara
2 Juma Shaban
3 Lomalisa
4 Mwamunyeto
5 Job
6 Baka
7 Zawadi mauya
8: Bangala
9 Mayele
10: Mudathir
11 Morrison

Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto.

Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala

Mbele Wabaki Mayele na Morrison

Hawa wasikabe kazi yao ni kushambulia na wote wakae pembeni ya uwanja wakae bila mtu yeyote wa kuwamaki kazi yao kubwa iwe wakipata mpira wanafanya kukokota kuelekea kwenye box

Wakikaa pembeni watawalazimisha wale fullback wawili wa USM wasipande.

Pia itatoa nafasi kwa viungo 5 wa Yanga kuweka presha kwenye mpira tutengeneze mabao kutoka pembeni na inawezekana.

Maana tukiziba pembeni ambapo ukiangalia mabao yao yote mawili yalitokea hawana uwezo wa kupita katikati tu

[/Yaani unawadanganya eti mayele na moroson wacheze bila mtu wakuwaka kweli? sie waarab tunasemaje? ففسطد دمطم ؤ Umetusoma uto?
 
Ok..
20230416_214946.jpg

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kikosi cha kuiua USM kwao
Kikosi kiwe 3:5:2

1 Diara
2 Juma Shaban
3 Lomalisa
4 Mwamunyeto
5 Job
6 Baka
7 Zawadi mauya
8: Bangala
9 Mayele
10: Mudathir
11 Morrison

Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto.

Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala

Mbele Wabaki Mayele na Morrison

Hawa wasikabe kazi yao ni kushambulia na wote wakae pembeni ya uwanja wakae bila mtu yeyote wa kuwamaki kazi yao kubwa iwe wakipata mpira wanafanya kukokota kuelekea kwenye box

Wakikaa pembeni watawalazimisha wale fullback wawili wa USM wasipande.

Pia itatoa nafasi kwa viungo 5 wa Yanga kuweka presha kwenye mpira tutengeneze mabao kutoka pembeni na inawezekana.

Maana tukiziba pembeni ambapo ukiangalia mabao yao yote mawili yalitokea hawana uwezo wa kupita katikati tutakuwa tumejaza viungo.

Tia nje Azziz ki na Musonda wataingia badae !!!

Tukienda hivi hii game tunashinda 3 kwa moja. Au 4 kwa 2 !!
Yote yanawezekana ni swala la kujituma tu wachezaji maana kwenye mpira lolote lina wezekana Nina Imani kubwa nauona ushindi mkubwa tu . Mungu ni mwema.
 
Kikosi cha kuiua USM kwao
Kikosi kiwe 3:5:2

1 Diara
2 Juma Shaban
3 Lomalisa
4 Mwamunyeto
5 Job
6 Baka
7 Zawadi mauya
8: Bangala
9 Mayele
10: Mudathir
11 Morrison

Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto.

Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala

Mbele Wabaki Mayele na Morrison

Hawa wasikabe kazi yao ni kushambulia na wote wakae pembeni ya uwanja wakae bila mtu yeyote wa kuwamaki kazi yao kubwa iwe wakipata mpira wanafanya kukokota kuelekea kwenye box

Wakikaa pembeni watawalazimisha wale fullback wawili wa USM wasipande.

Pia itatoa nafasi kwa viungo 5 wa Yanga kuweka presha kwenye mpira tutengeneze mabao kutoka pembeni na inawezekana.

Maana tukiziba pembeni ambapo ukiangalia mabao yao yote mawili yalitokea hawana uwezo wa kupita katikati tutakuwa tumejaza viungo.

Tia nje Azziz ki na Musonda wataingia badae !!!

Tukienda hivi hii game tunashinda 3 kwa moja. Au 4 kwa 2 !!
Usijipe matumaini mtoto, game lishaisha hapa hapa Lupaso
 
Huo mfumo wa 3:5:2 unatumika ikiwa mpinzani ni weak kwenye attacking. Wale jamaa ni finest kwenye attacking, tukitumia mfumo huo tutabondwa vibaya. Nadhani mfumo wa 4:3:3 utasaidia. Pale mbele awe Morrison, mudathir na mayele. Hapo magori uhakika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee uchambuzi gani huo,yaaani mnaenda ugenini afu unaanza na beki 3,kudadeki mbona maji mtaita mma,wasijaribu kuiga mifumo ya kipara wa man city,watakula10.
Waache wajichanganyeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vyovyote mtakavyokuwa kipigo ni pale paleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom