muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Arafu aliyewekeza anarudisha nini?unafikiri alitoa kama harambee.hiyo ni biashara.Hela si tumepata kutoka CAF..baada ya kufuzu makundi na robo fainali.. Alafu pia Simba ni kampuni.
Kwa Manula umekosea sana, huyu ni kipa mbovu sana na stars walimtumia afcon tutafungwa sana
Kwani huoni wametupeleka Q'FINAL?... na bado wanabeba TPLKuna Mwamba wa Lusaka,Kagere,Okwi,Bocco,Niyonzima mliwapa misifa mingiiii leo hii mnataka kikosi kifumuliwe na kile kipana vp
Sent from Nokia 7 Plus
Kweli Haruna chenga zake na ukizingatia stamina hana... Pamoja na yote wajitahidi ila waongeze kujituma.. Kupambania timu .Huyu niyonzima pamoja na kwamba ndiyr aliyoasist bao pekee la simba lakini mipira mingi amenyanganywa yeye na mwisho wa siku ikaleta maafa. Yeye amekariri kuwa anacheza na akina mbao na lipuli kila akipata mpira anataka kupiga chenga zake za kizamani za kurudi nyuma, yale majamaa yalishamjulia yanajichukulia mpira kiulaini mguuni mwake.
Nakwambia wana Visimi virefu utafikiri timu yao ni ESPERANCEWewe bakuli fc mambo ya simba yanakuwasha nini...mukiona thread ya mume wenu simba lazima muishobokee
Kile kimoja cha cku ile inaonekana hatukuwagegeda vizuriNakwambia wana Visimi virefu utafikiri timu yao ni ESPERANCE
Mzamiru na Okwi wabaki labda kama wanauzwa au kuondoka kwa kunyimwa mkataba.. tofauti na hapo huwezi kupata kiungo wa kibongo mwenye uwezo kama mzamiru kirahisi.Nakubaliana na ww kutokukubaliana, naomba nisaidie kitu ili utoe solution ya tatizo baada ya hao unaotaka waachwe je ni mchezaji gani wa ndani au nje ya mipaka yetu ungependa asajiliwe??
Japo mm naomba wafuatao waachwe kabisa Gyan, kwasi, mo Ibrahim, Ndemla, mzamiru, Salamba, Okwi ,Wawa.
Halafu atafutwe mbadala wa mkude, mbadadala wa okwi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubovu wake ameipeleka timu Q'FINAL... Ameipeleka STARZ AFCON.Kwa Manula umekosea sana, huyu ni kipa mbovu sana na stars walimtumia afcon tutafungwa sana
aah,aise kumbe,naomba matokeo ya jana.Kwani huoni wametupeleka Q'FINAL?... na bado wanabeba TPL
au ulitakaje wewe Matonya fc
Mbele tuongeze Chisala wa NKANA na Tuyisenge wa GOR MAHIA.binafsi napendelea viongozi waangalie zaidi nafasi hizi kwenye usajili
Backline--namba tatu, tano na mbili
Midfild--namba sita na nane
Huko mbele tuwaache kagele, okwi na bocco waendelee.
Kweli..wazee wanakata moto mapema mkuu.Mnunueni Jackson Muleka Jana aliwakimbiza wale wazee akina na nyoni pia na kazaliwa nyoni akiwa anacheza mpira 1997. Punguzeni wazee
Ewaaaaaa,Jackson Muleka [emoji23][emoji23][emoji23]Mnunueni Jackson Muleka Jana aliwakimbiza wale wazee akina na nyoni pia na kazaliwa nyoni akiwa anacheza mpira 1997. Punguzeni wazee
Sasa kwenye biashara ukipata faida unakula yote? Kawaida unakula kidogo nyingine unawekeza ili update nyingi zaidi.Arafu aliyewekeza anarudisha nini?unafikiri alitoa kama harambee.hiyo ni biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kotei akipiga pasi 10 zinazomfikia mwenzake ni 2 zingine zote anapotezaKwa mfano kotei na mkude ni viungo lakini hawana uwezo wa kukaa na mpira na kupandisha timu.. Kotei akikaba na kumiliki kinachofuata ni kuanua mbele..pia mkude.
We hata wachezaji kumbe huwajui, unataka rashid juma aachwe we kweli umepoteaWakigeni wa kuachwa.. Juko murshidi..Giani..coulrybali..kwasi..kotei..okwi . wa ndani salamba..mohamedi Ibrahim..ndemla..bukaba,, mlipili..ally saleh...na yule alieingia Jana mwenye mbio nyingi